Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lema achafua hewa uandikishaji BVR

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema jana alichafua hali ya hewa katika Kituo cha Uandikishaji Wapigakura, Kata ya Sinoni baada ya kutaka shughuli ya uandikishaji wa majina isitishwe akidai kuna njama za polisi kuvuruga mchakato huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Makongoro Nyerere achafua hewa

MBIO za kusaka urais kwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimezidi kushika kasi baada ya mtoto wa tano wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, Charles Makongoro Nyerere kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakati Makongoro akichukua uamuzi huo kwa mara ya kwanza katika historia ya familia ya Mwalimu Nyerere, mkoani Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Kazi Maalumu, Profesa Mark Mwandosya naye ameingia kwenye mbio hizo.
MAKONGORO
Akitangaza nia yake katika eneo la Mwitongo kijijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Lissu achafua hewa bungeni

>Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu jana alichafua hali ya hewa bungeni baada ya kudai kuwa Serikali ya Awamu ya Nne ni ya kichovu, kauli ambayo ilizua mabishano makali kati yake na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Pinda achafua hali ya hewa

HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kutangaza nia ya kugombea urais 2015, imeibua maswali mazito ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo sasa makada wenzake waliofungia mwaka mmoja...

 

11 years ago

Mwananchi

Ummy achafua hali ya hewa bungeni

Mwenyekiti wa Kamati namba moja, Ummy Mwalimu (pichani) jana alichafua hali hewa bungeni baada ya kuruka baadhi ya maneno na kuongeza mengine wakati alipokuwa akisoma  taarifa ya kamati hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri Mbene achafua hali ya hewa kanisani

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janet Mbene, anadaiwa kufanya uchochezi kanisani akisema kuwa wajumbe wanaotaka kura ya siri kwenye Bunge Maalumu la Katiba wana ajenda ya kuleta ushoga na...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA NGWEA: MGENI RASMI ACHAFUA HALI YA HEWA

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
JAMBO limezua jambo! Katika hali ya kushangaza, mgeni rasmi katika shughuli ya kumbukumbu cha kifo cha aliyekuwa staa wa muziki wa Hip Hop Bongo, Albert Mangwea ‘Ngwea’ amejikuta akichafua hali ya hewa. Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Morogoro, Mourice Masala anayedaiwa kuchafua hali ya hewa katika kumbukumbu ya marehemu Albert Mangwea ‘Ngwea’. Tukio hilo lililoibua...

 

5 years ago

Bongo5

Harmorapa achafua hali ya hewa, ‘Master J mbona simjui’

Ni kweli nilichokisikia au ninaota? Eti Harmorapa hamfahamu Master J?

Rapper huyo ameonekana kuwashangaza mashabiki Jumatano hii wakati alipokuwa katika kipindi cha Kikaangoni cha EATV kuwa hamfahamu mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki nchini.

“Master J mbona simjui? Sidhani kama ni producer maana hakuna ngoma yake yoyote inayohit ambayo mimi naijua,” amesema Harmo.

Hitmaker huyo wa ‘Kiboko ya Mabishoo’ ameongeza kwa kusema kwamba ataachia wimbo wake mpya mwezi ujao ambao umetayarishwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive gossip: Nuh Mziwanda wa Shilole, ‘achafua’ hali ya hewa kwenye mtandao wa Instagram

 

 

sadNuh Mziwanda akiwa na mchumba wake, Shilole

..Maneno  ya ‘Sadd na Sadness’, ‘Women na Woman’ yamtatiza

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Huenda hii ikawa ni tabia endelevu kwa baadhi ya mastaa wa Bongo hasa wasanii wa filamu, muziki na watu maalufu kwa kung’ang’ania kuutukuza ‘Umagharibi’, hasa kwa kupenda kutumia lugha ya  Kiingereza ambacho mara zote kimekuwa kikiwatoa jacho..

Hivi sasa Nuh Mziwanda ambaye mwenye mahusiano ya uchumba na  mwimbaji Shilole ameibua mijadara huku wengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani