Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lembeli: Nimekaa kimya naomboleza kifo cha Tanganyika

Mjumbe wa Bunge la Katiba, James Lembeli (CCM) amefananisha kitendo cha kuuawa kwa Tanganyika katika Katiba mpya na uharamia.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lembeli: Bado naililia Tanganyika

>Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, James Lembeli ameapa hatakuwa tayari kubadili msimamo wake kuhusu Muundo wa Muungano badala yake atasimamia kauli yake kwamba ukamilifu wa Tanzania ni kuwa na Serikali ya Tanganyika.

 

9 years ago

Vijimambo

UPDATES: LEMBELI NA MUKYA WANUSURIKA KIFO MARA BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari inavyotufikia.Picha na Mdau Massawe

CHANZO: LUKAZA BLOG

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maharusi wanusurika kifo Ziwa Tanganyika

WATU zaidi ya 64 wakazi wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wamesadikiwa kufa maji Ziwa Tanganyika baada ya mitumbwi waliokuwa wakisafiria kuzama majini kutokana na uzito uliosababishwa na kuzidisha abiria. Akifafanua...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya

Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.

Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.

Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...

 

10 years ago

Vijimambo

HII NDIYO YANGA NA MBIO ZA KUUSAKA UBIGWA KIMYA KIMYA TU UNAISOMA

Yanga imerejea kileleni Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Prisons ya Mbeya kwa mabao 3-0.Ushindi huo umeifanya Yanga kufikisha pointi 48 dhidi ya Azam FC yenye 46 ambayo imelazimishwa sare ya bila mabao dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.Yanga imebuka na ushindi huo mnono kwenye Uwanja wa ugenini wa Sokoine jijini Mbeya ikiwa ni baada ya viungo wake Simon Msuva na Andrey Coutinho kufunga.Msuva amepachika mabao mawili, huku Coutinho na kukamilisha idadi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Usher afunga ndoa kimya kimya na meneja wake Grace Miguel

Usher Raymond amerudisha tena title yake ya kuwa mume wa mtu, baada ya kufunga ndoa na girlfriend wake wa muda mrefu Grace Miguel, ambaye pia ni meneja wake. Tetesi za Usher kufunga ndoa zilianza baada ya kuonekana akiwa amevaa pete ya ndoa ya dhahabu alipokuwa vacation huko Havana, Cuba, na baadae E! Online walithibitisha uvumi […]

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr aibuka Tanga, aisoma African Sports kimya kimya

dylanker-haiphongOSCAR ASSENGA, TANGA NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, juzi ametumia muda wa dakika 90 kukisoma kikosi cha timu ya African Sports “Wanakimanumanu”, wakati ikicheza mchezo wa kirafiki na Coastal Union kwenye Uwanja wa Mkwakwani.

Kocha huyo alitua Tanga kimya kimya ili kuweza kukijua vizuri kikosi cha ‘Wana kimanumanu’, kabla hawajakutana kwenye ufunguzi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Septemba 12, mwaka huu.

Mchezo huo wa kirafiki ulimalizika kwa Coastal Union...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani