Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LHRC: Haki za ajira hazitekelezwi kivitendo

IMEELEZWA kwamba baadhi ya makapuni na mashirika mbalimbali bado haki za ajira hazitekelezwi kivitendo na hivyo kusababisha wafanyakazi kufanya kazi katika mazingira magumu. Hayo yalisemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

LHRC, TLS wazidi kusaka haki

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamesema kuwa wanapinga hukumu ya pili iliyoeleza kuwa hawana mamlaka ya kumshitaki Waziri Mkuu kwa kuwa...

 

5 years ago

Michuzi

LHRC YAZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019


Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019. Uzinduzi huo uliofanyika leo Aprili 29, 2020 katika ofisi za LHRC jijini Dar es Salaam na wadau kufuatilia kwa njia ya mtandao.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga (katikati), Afisa Utafiti, Fundikila Wazambi (kushoto) na Mkurugenzi wa Uwajibikaji na Uwezeshaji wa Kituo hicho, Felista Mauya (kulia) wakionesha nakala za Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania...

 

9 years ago

Mwananchi

Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu-LHRC

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia 40 ukifanywa na wananchi wa kawaida.

 

5 years ago

Michuzi

THBUB, LHRC wajipanga kutoa elimu ya haki za binadamu mashuleni




Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akiongea katika kikao cha majadiliano kilichowakutanisha ujumbe wa THBUB na Viongozi wa LHRC kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dodoma leo (Februari 27, 2020). Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga.Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC

Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dk Helen Kijo-Bisimba Sunday, September 27, 2015 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema asilimia 60 ya uvunjifu wa haki za binadamu nchini unafanywa na vyombo vya dola huku asilimia […]

The post Vyombo vya dola kinara uvunjifu wa haki za binadamu asilimia 66-LHRC appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

GPL

KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) CHAENDELEA KUIPINGA ADHABU YA KIFO



  Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.

 Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC.…

 

5 years ago

Michuzi

LHRC KUZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA 2019 KWA NJIA YA MTANDAO

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wametangaza kupitia tovuti yao na mitandao ya kijamii kuzindua Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania 2019. 
RIPOTI imepangwa kuzinduliwa Jumatano, Aprili 29, 2020 kupitia mtandao wa YouTube (Haki TV), mtandao wa Zoom na mitandao ya Twitter, Facebook na Instagram.

 Kwa mujibu wa LHRC, hii ni mara ya kwanza kwa shirika hilo la utetezi wa haki za binadamu hapa nchini kuzindua ripoti kwa njia ya kidigitali tangu walipoanza kuchapisha ripoti hiyo mwaka...

 

10 years ago

Mwananchi

Haki ya migomo katika ajira na taratibu zake kisheria

Ni jambo la kawaida kwa watu kutokubaliana katika mambo ya msingi yanayogusia uhusiano wao kiajira, mfano ongezeko la mshahara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani