Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIBENEKE LIPYA LA KIJANA NI KIONGOZI


Tembelea Libeneke jipya la Kijana ni Kiongozi kwa kubofya link hiyo.
http://www.kijananikiongozi.com/

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Malaysia Kutafutwa eneo lipya

Australia imeanza kutafuta mabaki ya ndege ya Malaysia katika eneo lipya baada ya kupata habari za kuaminika

 

11 years ago

GPL

MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI‏

Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa  vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda,...

 

11 years ago

Michuzi

MAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI

Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa  vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda, taswira ya kiongozi kwa muonekano tu inazidi kupotea....

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA ELIMU


www.elimu.co.tz

 

10 years ago

Michuzi

introducing libeneke la habari5.com

TEMBELEA HAPA http://www.habari5.com/

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

LIBENEKE JIPYA LA HABARIKA24

Habarika 24 ni blog inayokupa habari mbal mbali za kitafaifa, kimataifa, afya, mapishi, habari za kiingereza n.k
Hivyo ifungue sasa kupitiawww.habarika24.blogspot.com

 

10 years ago

Michuzi

LIBENEKE LA MSAADA WA KISHERIA LAFUNGULIWA

Watu wenye uhitaji wa msaada wa sheria sasa wanaweza kupata huduma hiyo kwa kuingia mtandaoni baada ya wakili mmoja Jijini Dar es Salaam kuanza kutoa huduma hiyo.
Wakili Emmanuel Augustino ameanza kuwafikia wahitaji wa msaada wa sheria kwa kutumia blog yake ya wakiliwangu.blogspot.com.
"Kupitia blog hii, tunatoa ushauri wa kisheria wa mambo yanayohusu mirathi, ununuzi au uuzaji wa ardhi, kesi za jinai na madai, kuanzisha kampuni na mambo mengine tofauti ya kisheria," alisema Wakili...

 

10 years ago

Mtanzania

Azam, Yanga SC kuendeleza libeneke

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

VITA ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Yanga na Azam inatarajiwa kuendelea tena leo, pale timu hizo zitakapoteremka kwenye viwanja tofauti kusaka pointi tatu.

Yanga, ambao ni vinara wakiwa na pointi 40, watakuwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini hapa, wakivaana na Wagosi wa Kaya, Coastal Union, mchezo unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake.

Mabingwa watetezi wa ligi, Azam FC, wenye pointi 36, wataikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani