Azam, Yanga SC kuendeleza libeneke
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
VITA ya ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati ya Yanga na Azam inatarajiwa kuendelea tena leo, pale timu hizo zitakapoteremka kwenye viwanja tofauti kusaka pointi tatu.
Yanga, ambao ni vinara wakiwa na pointi 40, watakuwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini hapa, wakivaana na Wagosi wa Kaya, Coastal Union, mchezo unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake.
Mabingwa watetezi wa ligi, Azam FC, wenye pointi 36, wataikaribisha Mbeya City kwenye Uwanja...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Yanga, Azam patachimbika
YANGA na Azam zinakutana leo kwenye mechi ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Kagame katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Habarileo11 Aug
Yanga, Azam zapaniana
MABINGWA wa Tanzania Yanga na wale wa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, Azam FC wamejichimbia kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii itakayofanyika Agosti 22 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Azam na Yanga zinamatumaini
9 years ago
Habarileo17 Oct
Yanga, Azam ni kifo
YANGA leo inaikaribisha Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaoamua nani akalie kiti cha uongozi wa ligi hiyo inayoshirikisha jumla ya timu 16.
10 years ago
MichuziYANGA YAIFUNGA AZAM FC 3-0
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Yanga, Azam TV waelewana