LIBENEKE LA MSAADA WA KISHERIA LAFUNGULIWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-zL4u9LxGvjs/VLelp2pbhrI/AAAAAAAG9gA/ajvyVlnBQvo/s72-c/unnamed%2B(29).jpg)
Watu wenye uhitaji wa msaada wa sheria sasa wanaweza kupata huduma hiyo kwa kuingia mtandaoni baada ya wakili mmoja Jijini Dar es Salaam kuanza kutoa huduma hiyo.
Wakili Emmanuel Augustino ameanza kuwafikia wahitaji wa msaada wa sheria kwa kutumia blog yake ya wakiliwangu.blogspot.com.
"Kupitia blog hii, tunatoa ushauri wa kisheria wa mambo yanayohusu mirathi, ununuzi au uuzaji wa ardhi, kesi za jinai na madai, kuanzisha kampuni na mambo mengine tofauti ya kisheria," alisema Wakili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo16 Jul
Sheria ya msaada wa kisheria yaja
NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria, Angellah Kairuki amesema serikali inaendelea na jitihada za kutunga sheria ya huduma ya msaada wa kisheria ambayo itawezesha upatikanaji stahiki wa haki kwa wananchi kwa wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
WLAC yazindua namba msaada wa kisheria
JAJI Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Eusebia Munuo, amezindua namba ya simu ya bure kwa ajili ya msaada wa kisheria hapa nchini, katika Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake...
10 years ago
Mwananchi03 Oct
Likizo kwa malipo iko kisheria, siyo msaada
10 years ago
MichuziFamilia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria
10 years ago
GPLSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA
10 years ago
VijimamboSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria kutembelea Asasi zinazotoa msaada wa Kisheria jijini Dar
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku tano kuanzia leo Jumatatu, Julai 14 hadi Ijumaa 18, 2014 katika jiji la Dar Es Salaam akitembelea asasi mbalimbali zinazotoa huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi kwa lengo la kujionea huduma zinazotolewa na asasi hizi ikiwa ni pamoja na kukutana na wananchi wanaopata huduma hii.
Pamoja na kujionea huduma hizi Mh. Naibu Waziri anatarajiwa kujionea ufanisi wa kazi zinazofanywa...
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LAZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA KWA WAFANYABIASHARA SOKONI NA OFISI ZAKE WILAYANI LUSHOTO MKOANI TANGA