Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA MHE. ARNELL MILLS


Mhe. Meya Wills akipokelewa na Bw.Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozini hapo kwa mazungumzo na Mhe. Balozi Liberata Mulamula
Mhe. Liberata Mulamula,Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika mazungumzo na Mhe.Arnell Wills, Meya wa mji wa Helena-West Helena, Arkansas, Marekani,Ubalozini Tanzania House, Washington DC. ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MHE. LIBERATA MULAMULA AKUTANA NA MHE. ARNELL MILLS, MEYA WA MJI WA HELENA-WEST HELENA KUTOKA JIMBO LA ARKANSAS MAREKANI


Mhe. Meya Wills akipokelewa na Bw.Suleiman Saleh, Afisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozini hapo kwa mazungumzo na Mhe. Balozi Liberata Mulamula
Mhe. Liberata Mulamula,Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani akiwa katika mazungumzo na Mhe.Arnell Wills, Meya wa mji wa Helena-West Helena, Arkansas, Marekani,Ubalozini Tanzania House, Washington DC.

Mhe. Balozi Mulamula akimkabidhi Meya Wills zawadi maalum kutoka Ubalozini.

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe.Balozi Liberata Mulamula akutana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa Mhe.Mboni Mohamed Mhita Ubalozini Tanzania House Wsshington DC

Mhe.Liberata Mulamula akiwa katika picha pamoja na Mhe.Mboni Mhita (juu) na chini Mhe.Balozi Libearata Mulamula (katikati) katika picha ya kumbukumbu na Mhe.Mboni Mhita Kulia na Bibi Loveness Mamuya kushoto baada ya Mhe.Mulamula kufanya mazungumzo na Mhe.Mboni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Vijimambo yakutana na Mhe. Balozi Liberata Mulamula

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiongoza kikao cha kamati ya maandalizi ya sherehe ya miaka 4 ya Vijimambo ambayo imebeba ujumbe wa kutangaza maliasili na  utalii wa Tanzania na kukemea Ujangili wa wanyama pori na misitu sherehe inayofanywa kwa ushirikiano wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani pamoja na Jumuiya ya Watanzania DMV mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akiwa pamoja nae...

 

10 years ago

Vijimambo

Mhe. Balozi Liberata Mulamula awaaga waTanzania nyumbani kwake

Leo, Jumamosi Julai 25, 2015, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula na familia yake waliwaalika waTanzania wote kwa ajili ya nyama choma ya kuagana nao.
Pia, alipata fursa ya kuzungumza machache.
Karibu
Broadcast live streaming video on Ustream

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGWA NA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA MAREKANI.

Balozi Liberata Mulamula akiwa na mwenyeji wake mkuu wa itifaki Bw Peter Selfidge  Balozi Liberata Mulamula akiwa na balozi wa Uganda Oliver Wonekha pamoja na mume wa balozi Eng. George Mulamula.

 Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na maafisa wa ubalozi wakisikiliza hotuba zilizokua zikiendelea.

Mkuu wa Itifaki Bw Peter Selfidge pamoja na Balozi Liberata Mulamula wakipata nasaha fupi  Baadhi ya mabalozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki nao hawakua nyuma kujuika na Balozi Liberata Mulamula kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA KUMUAGA MHE. LIBERATA MULAMULA KUTOKA TEMBAPHOTO JITIRIRISHE HAPA

 Mhe. Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akitoa hotuba ya kuwaaga Watanzania wa Marekani waliokuja kutoka kila pembe ya Marekani siku ya Jumamosi Julai 25, 2015 nyumbani kwake Bethesda, Maryland.
   Maafisa wa Ubalozi wa kudumu wa Umoja wa mataifa New York wakipata ukodak wa pamoja na Mhe. Liberata Mulamula, Ukiacha maafisa hao pia kulikuwa na Naibu mweka hazina wa New York Tanzania Community Dr Temba na Mwenyekiti wa tawi la CCM New York bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani