Libya:Waasi wanawazuia wahamiaji 400
Mkuu wa utawala wa waasi nchini Libya ameiambia BBC kuwa vikosi vyao vinafanya juhudi ziwezekanazo kuzuia wahamiaji haramu.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 May
Bukoba yanasa wahamiaji 400
Wahamiaji haramu 400 raia wa Burundi wamekamatwa na Idara ya Uhamiaji wilayani Ngara, mkoani Kagera kwa tuhuma za kuingia nchini kinyume cha sheria na kurejeshwa nchini mwao katika Operesheni Kimbunga iliyofanyika katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.
11 years ago
BBCSwahili13 Jul
Libya:Waasi wakabiliana mjini Tripoli
Kuna ripoti kwamba mapigano yamezuka nchini Libya karibu na uwanja wa kimataifa wa ndege katika mji mkuu wa Tripoli.
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Waasi Libya waridhia mafuta yauzwe
Makubaliano yameafikiwa kati ya Serikali na waasi kuondoa kizuizi cha kusafirisha mafuta mashariki mwa Libya kuyauza ng'ambo.
9 years ago
BBCSwahili18 Dec
Waasi wafukuza jeshi la Marekani Libya
Wanajeshi 20 wa Marekani waliondoka kuzuia vurugu baada ya kukabiliwa na wapiganaji wanaodhibiti eneo walilotua huko Libya
10 years ago
BBCSwahili04 Mar
Waasi waviteka visima vya mafuta Libya
Wapiganaji wa kiislamu wameripotiwa kuviteka visima viwili vya mafuta katikati mwa Libya
9 years ago
BBCSwahili27 Aug
Wahamiaji zaidi ya 50 wafariki Libya
Watu wapatao 50 wamekutwa wamekufa katika sehemu ya mizigo ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji waliokamatwa katika pwani ya Libya.
11 years ago
BBCSwahili31 May
Idadi ya wahamiaji yaongezeka Libya
Mamlaka nchini Libya imesema kuwa imeshindwa kudhibiti idadi ya wahamiaji wanaotaka kuingia Ulaya kwa kutumia mlango wa nyuma.
10 years ago
BBCSwahili15 Sep
Wahamiaji wamekufa maji wakitokea LIbya
Wahamiaji wengi kutoka Libya wamepoteza maisha yao baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania