LICHA YA UJAUZITO KIM KARDASHIAN AVAA GAUNI LENYE KUACHA MATITI NUSU NJE
![](http://api.ning.com:80/files/h04tScqf3LahynFxsOHpg2jvhqrNkmkkHr7p2a9nL2J9i7mznSH1FXnPK8iztJNvHUsLDfoA5Nu-KWxzveP-WJPFeihVGYr8/KimKardashian1.jpg?width=650)
Mmwanamitindo, Kim Kardashian akiwa amevaa nguo inayoonesha matiti ilihali ni mjamzito. Akikatiza mitaa. MOJA ya familia maarufu duniani, familia ya mwanamuziki Kanye West, mwanamitindo Kim Kardashian na mtoto wao, North, iliyokuwa kivutio katika harusi iliyotayarishwa na kampuni la Big…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
10 years ago
Bongo527 Feb
Wezi waiba gauni la Lupita Nyong’o alilovaa kwenye tuzo za Oscars 2015 lenye thamani ya shilingi milioni 274
9 years ago
Mtanzania28 Nov
UJAUZITO WAMNYIMA KIM USINGIZI
NEW YORK, MAREKANI
MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian, amesema kwa hatua aliyofikia anapata maumivu
ya tumbo wakati wa kulala kiasi cha kukosa usingizi.
Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto wa pili, baadaye Desemba, mwaka huu na mume wake Kanye West, lakini kutokana na hatua ambayo ujauzito wake umefikia, anadai inampa usumbufu mkubwa.
“Natarajia kupata mtoto wa pili hivi karibuni, lakini kwakweli kwa sasa napata maumivu ya tumbo wakati wa kulala, hii ni dalili ya kuwa siku...
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kim kardashian ni mjamzito
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua
NEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pHhBdYiNnuLxX2gTZNwFkkccX2zbw5vd7DPdVHnf2oATGRviYUq3oRVqJvNFIcNHbOmIlJ8MAvb*WsIQgGD5xfF-5KtRQexf/KylieJennerMakeup2014AmericanMusicAwards.jpg?width=650)
MDOGO WA KIM KARDASHIAN ACHUMBIWA