Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIGI KUU BARA INAFIKIA TAMATI LEO JUMAMOSI, HAPONI MTU

Kikosi cha Stand. NA KHADIJA MNGWAI LIGI Kuu Bara inafikia tamati leo Jumamosi kwa timu zote 14 kucheza mechi zake za mwisho. Hata hivyo, michezo mingi ya leo, itakuwa ya kukamilisha ratiba kwa upande wa kusaka ubingwa na uwakilishi wa mechi za kimataifa. Mashabiki wa timu ya Yanga SC. Tayari Yanga ni bingwa kwani ina pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ile, wakati Azam FC ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 48...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya michezo ya leo Jumamosi, Disemba 19 katika ligi kuu ya Tanzania na ligi kubwa barani Ulaya

football-ground2

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea mwishoni kwa juma hili na mtandao wako bora wa habari , Modewjiblog.com imekuandalia ratiba ya michezo ya Ligi Kuu ya Tanzania “Vodacom Premier League” na ratiba ya michezo katika ligi kubwa barani Ulaya.

TANZANIA – VODACOM PREMIER LEAGUE

Kagera Sugar – African Sports           16:00 EAT

Maji Maji – Azam                               16:00 EAT

Mwadui – Ndanda                              16:00 EAT

Prisons – Mtibwa...

 

11 years ago

GPL

Ligi Kuu Bara kuendelea leo

Kwenye Uwanja wa taifa, mabingwa watetezi Yanga watakuwa na kibarua kigumu mbele ya Maafande wa Ruvu Shooting, ikumbukwe katika mzunguko wa kwanza vijana wa Jangwani walifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0. Mechi zingine Kagera Sugar ipo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Kaitaba wakikaribisha Rhino Rangers, Coastal Union  ya Tanga itakuwa na shughuli pevu dhidi ya Mbeya City. Maafande wa JKT Oljoro wapo nyumbani wakiisubiri...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania Bara kuanza leo

Ligi kuu ya Tanzania bara, Vodacom inaanza mzunguko wa pili leo baada ya kusimama tangu Novemba saba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu Tanzania bara kuendelea leo

Ligi Kuu Tanzania bara Itaendelea tena leo katika viwanja saba ikiwa ni michezo ya mzunguko wa pili

 

10 years ago

GPL

MECHI ZA LEO NA KESHO LIGI KUU YA TANZANIA BARA

Oktoba 4, 2014 Polisi Moro v Kagera Sugar - Jamhuri Coastal Union v Ndanda FC - Mkwakwani Simba SC v Stand United - Taifa Prisons v Azam FC - Sokoine Ruvu Shooting v Mbeya City - Mabatini Oktoba 5, 2014 Yanga v JKT Ruvu - Taifa Mtibwa Sugar v Mgambo JKT -…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani