Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIGI KUU ENGLAND: Utamu na ugumu wa mechi za lala salama

Ikiwa karibu kila timu imebakiza mechi tisa kumaliza msimu wa 2014-15 wa Ligi Kuu England, timu ya Chelsea yenyewe imebakiza mechi 10 na ndiyo yenye matumaini zaidi ya kutwaa ubingwa ikiwa imekaa kileleni kwa siku nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU AKUNWA NA USHINDANI WA LALA SALAMA

Dar es Salaam, 7 Aprili 2014. Huku ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikiwa inaelekea ukingoni mdhamini Mkuu wa ligi hiyo  Vodacom Tanzania, wamesema wanavutiwa na ushindani ulipo katika mechi za sasa za ligi na mbio za ubingwa. Akizungumza punde baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Yanga na JKT Ruvu iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na Ushindi wa Mabao 5 – 1. Meneja Uhususiano wa Nje wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri lala salama Ligi Kuu Bara 2013/14

RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kesho kwa miamba 14 kuanza ngwe ya mwisho ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo ambayo safari yake ilianza Agosti 24, mwaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waamuzi waongeze umakini lala salama Ligi Kuu Bara

MBIO za timu 14 kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, zimefikia patamu kwani sasa kila timu imesaliwa na wastani wa mechi kati ya nne hadi tano kabla ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sheria, haki vifanye kazi lala salama Ligi Kuu Bara

HARAKATI za timu 14 katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara zimefikia patamu kutokana na kila timu kusaliwa na wastani wa mechi kati ya nne hadi tano kabla...

 

11 years ago

GPL

10 years ago

GPL

LIGI KUU ENGLAND MECHI ZA LEO

Chelsea v West Brom - Stamford Bridge - 12:00 Jioni
Everton v West Ham - Goodison Park - 12:00 Jioni  
Leicester v Sunderland - King Power Stadium - 12:00 Jioni
Man City v Swansea - Etihad Stadium - 12:00 Jioni  
Newcastle v QPR - St. James' Park - 12:00 Jioni
Stoke v Burnley - Britannia Stadium - 12:00 Jioni…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani