MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU AKUNWA NA USHINDANI WA LALA SALAMA
![](http://api.ning.com:80/files/IlN0UevPKmY4Tl0VAlFMuDoBg-Tdk3xDs9mhqiRR2gr4pZZPwxep0VDKcAAIF*mYj9Rtfoj4-z6EEbhyy9sAlRj2wKt7nZL-/Vodacom_new_logo.jpg?width=750)
Dar es Salaam, 7 Aprili 2014. Huku ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikiwa inaelekea ukingoni mdhamini Mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania, wamesema wanavutiwa na ushindani ulipo katika mechi za sasa za ligi na mbio za ubingwa. Akizungumza punde baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Yanga na JKT Ruvu iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na Ushindi wa Mabao 5 – 1. Meneja Uhususiano wa Nje wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Waamuzi waongeze umakini lala salama Ligi Kuu Bara
MBIO za timu 14 kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, zimefikia patamu kwani sasa kila timu imesaliwa na wastani wa mechi kati ya nne hadi tano kabla ya...
10 years ago
Mwananchi16 Mar
LIGI KUU ENGLAND: Utamu na ugumu wa mechi za lala salama
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Kila la heri lala salama Ligi Kuu Bara 2013/14
RAUNDI ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza kesho kwa miamba 14 kuanza ngwe ya mwisho ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo ambayo safari yake ilianza Agosti 24, mwaka...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Sheria, haki vifanye kazi lala salama Ligi Kuu Bara
HARAKATI za timu 14 katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara zimefikia patamu kutokana na kila timu kusaliwa na wastani wa mechi kati ya nne hadi tano kabla...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Lala salama ya Ligi Daraja la Kwanza leo
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ligi Kuu yenye ushindani mkubwa inahitajika
9 years ago
Mzalendo Zanzibar22 Oct
Kura za Lala salama
Kampeni ni ushawishi. Kampeni ni kujikaribisha. Na kampeni ni kukubalika. Ikiwa zimebaki saa chache kufika siku ya siku (day of a day) kuna kila sababu ya kuendelea kufanya kampeni ili uweze kushawishi, kujikaribisha, na kukubalika. Kwa […]
The post Kura za Lala salama appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Bajeti ya lala salama
11 years ago
Habarileo13 Jun
Ni Bajeti ya lala salama
BAJETI Kuu ya Serikali ya Sh trilioni 19.87, imewasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, huku ikiwabana wananchi katika bidhaa na huduma za starehe, na kipaumbele kikubwa kikiwa elimu.