Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Kuu yenye ushindani mkubwa inahitajika

Miaka ya 1980, tulishuhudia mashirika mengi ya umma yakishiriki kikamilifu kukuza michezo nchini, huku baadhi yakimiliki timu za soka hadi kufikia kucheza michuano mikubwa kama ya Ligi kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU AKUNWA NA USHINDANI WA LALA SALAMA

Dar es Salaam, 7 Aprili 2014. Huku ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikiwa inaelekea ukingoni mdhamini Mkuu wa ligi hiyo  Vodacom Tanzania, wamesema wanavutiwa na ushindani ulipo katika mechi za sasa za ligi na mbio za ubingwa. Akizungumza punde baada ya kumalizika kwa mechi kati ya Yanga na JKT Ruvu iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na Ushindi wa Mabao 5 – 1. Meneja Uhususiano wa Nje wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba yenye ushindani

Kamdulla sitaishi, nyumba yenye ushindani, Sipendi utatanishi, uhali hatulingani, Kushindania mapishi, tumbo lina shukurani? Nyumba yenye ushindani, Kamdulla sitaishi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Hispania ushindani mkubwa

Dalili za awali katika uchaguzi nchini Hispania zinaonyesha huenda vyama vipya vikapata ushindi zaidi ya vile ambavyo vimekuwepo kwa miongo kadhaa.

 

10 years ago

Michuzi

WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO


Ferrao.  NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...

 

11 years ago

Mwananchi

Nyota wa zamani watarajia ushindani mkubwa 2014/15

Ilikuwa miezi, wiki hatimaye zimesalia siku tano kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 kuanza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushindani wazidi katika ligi ya EPL

Manchester City ilifunga mabao matatu katika kipindi cha kwanza dhidi ya West Bromwich licha ya barafu kuanguka katika uwanja huo

 

9 years ago

StarTV

Kocha Matola akiri kuwepo na ushindani. ligi dalaja la kwanza  

 

Wakati ligi soka daraja la kwanza Taifa itaendelea Jumamosi hii kwenye miji mbalimbali,kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sports Suleiman Matola amekiri michuano hiyo si lele mama kutokana na kila timu kuonesha ushindani.

Mtaalamu huyo wa ufundi amebainisha pamoja na timu yake kuongoza kundi lao C wakiwa na pointi 17 lakini hawatofautiana sana kwa pointi na wapinzani wao kwenye kundi hilo.

 Kocha Matola amesema michuano ya ligi daraja la kwanza ushindani wake umechochewa na timu nyingi...

 

10 years ago

StarTV

IJUE ORODHA YA WAAMUZI WATAKAOCHEZESHA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA ..

WAAMUZI WA LIGI KUU YA VODACOM
Kamati ya Waamuzi nchini imetangaza orodha ya waamuzi wanaotakiwa kushiriki Semina na mtihani wa waamuzi itakayoanza tarehe 21- 25 Agosti, 2015 jijini Dar es salam, Waamuzi hao na sehemu wanaozotekea katika mabano ni Alex Mahagi (Mwanza), Hashim Abdallah (Dsm), Athony Kayombo (Rukwa), Amon Paul (Mara), Ahamada Simba (Kagera), Athuman Lazi (Morogoro), Abdallah Kambuzi (Shinyanga), Martin Saanya (Morogoro), Israel Nkongo (Dsm), Zakaria Jacob (Pwani), Michael...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani