Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Hispania ushindani mkubwa

Dalili za awali katika uchaguzi nchini Hispania zinaonyesha huenda vyama vipya vikapata ushindi zaidi ya vile ambavyo vimekuwepo kwa miongo kadhaa.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nyota wa zamani watarajia ushindani mkubwa 2014/15

Ilikuwa miezi, wiki hatimaye zimesalia siku tano kabla ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2014/15 kuanza.

 

11 years ago

Mwananchi

Ligi Kuu yenye ushindani mkubwa inahitajika

Miaka ya 1980, tulishuhudia mashirika mengi ya umma yakishiriki kikamilifu kukuza michezo nchini, huku baadhi yakimiliki timu za soka hadi kufikia kucheza michuano mikubwa kama ya Ligi kuu.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana ahutubia mkutano mkubwa Tanga, awashukuru watanzania kuipatia CCM ushindi mkubwa uchaguzi serikali za mitaa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.

Katibu Mkuu wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Hispania,matokeo yasubiriwa

Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Hispania yanaashiria kuwa vyama viwili vimepata karibu theluthi moja ya viti bungeni.

 

10 years ago

Habarileo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutoa taswira ya ushindani 2015

UCHAGUZI wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini kote ambapo chama tawala CCM, kinashindana na vyama vya upinzani katika kujenga nguvu kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu ujao mwakani.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani

Akiendelea na ziara katika Mamlaka zinazohusu udhibiti wa huduma za kiuchumi na za kijamii,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum), Ofisi ya Rais,Profesa Mark Mwandosya ametembelea makao makuu ya Tume ya Ushindani wa Haki kibiashara, na Baraza la Ushindani, Ubungo, Dar es Salaam. 
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...

 

10 years ago

Habarileo

`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m

MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi mkubwa zaidi waanza India

Wapiga kura milioni 814 nchini India wameanza kuwachagua wawakilishi 543 katika kipindi cha mwezi mzima.

 

11 years ago

Michuzi

UPIGAJI KURA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA WAENDELEA KWA UTULIVU MKUBWA.

 Baadhi ya Wanakijiji cha Kalenga A,kata ya Kalenga Iringa Vijijini mkoani Iringa wakiwa wamejitokeza mapema leo asubuhi kupiga kura kumchagua Mbunge wamtakae wa jimbo hilo la Kalenga.Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo unafanyika leo,ambapo vyama Vitatu;CCM,CHADEMA na CHAUSTA vikiwa vimesimamisha wagombea wake katika uchaguzi huo unaotokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo,pia Waziri wa Fedha,Dk William Mgimwa.Aidha Wagombea wa Chadema Grace Tendega na wa CCM,Godfrey Mgimwa ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani