Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba yenye ushindani

Kamdulla sitaishi, nyumba yenye ushindani, Sipendi utatanishi, uhali hatulingani, Kushindania mapishi, tumbo lina shukurani? Nyumba yenye ushindani, Kamdulla sitaishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ligi Kuu yenye ushindani mkubwa inahitajika

Miaka ya 1980, tulishuhudia mashirika mengi ya umma yakishiriki kikamilifu kukuza michezo nchini, huku baadhi yakimiliki timu za soka hadi kufikia kucheza michuano mikubwa kama ya Ligi kuu.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani

Akiendelea na ziara katika Mamlaka zinazohusu udhibiti wa huduma za kiuchumi na za kijamii,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum), Ofisi ya Rais,Profesa Mark Mwandosya ametembelea makao makuu ya Tume ya Ushindani wa Haki kibiashara, na Baraza la Ushindani, Ubungo, Dar es Salaam. 
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, atembelea kampuni ya Nyumba ya NAKHEEL yenye nia ya kuwekeza Tanzania

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe Omar Mjenga leo ametembelea kampuni ya Nyumba ya NAKHEEL, ambayo ndio kampuni kubwa ya Serikali Dubai, kwa lengo la kujionea miradi mikubwa iliyotekelezwa na kampuni hiyo.
Baadhi ya miradi iliyosimamiwa na kampuni hiyo ni pamoja na The Palm Dubai (the largest island Palm City in the World), Nakheel Mall, Dragon Mart na baadhi ya hotel za nyota tano Jijini Dubai.
Kufuatia mazungumzo kati ya Mhe. Mjenga na Bw. Rashid Lootah, mwenyekiti wa NAKHEEL,...

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATOA MSAADA WA MABATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 476 KWAAJILI YA KUEZEKA NYUMBA 1,000 ZA WAJANE WALIOKUMBWA NA ADHA YA MAFURIKO DAR.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa msaada wa Mabati yenye Thamani ya shilingi Milioni 476 kwaajili ya Kuezeka Nyumba 1,000 za Wajane mkoani humo ambao nyumba zao zimeathiriwa na mafuriko yanayotokana na Mvua zinazoendelea kunyesha ambapo amewataka Wananchi waliojenga mabondeni kuondoka.

RC Makonda amesema hayo wakati wa Ziara ya Kukagua athari za Mvua  na kubaini uwepo wa familia za Wajane ambao Nyumba zao zimechukuliwa na Mafuriko na sasa wanapitia changamoto ya...

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA ATOA VIDEO YENYE MANENO YENYE UTATA, ANGALIA VIDEO HAPA


Gwajima Akiwa kwenye Kitu cha Wagonjwa Anaonekana Kwenye Video Akitoa Maneno yenye utata kumsema mtu kwa Mafumbo ..embu angalia hapa chini kwenye Video:

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema yajivunia kutoa ushindani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema licha ya kushinda kata tatu kati ya 27 kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani nchini, kimetoa upinzani wa kweli kwa kusimamisha wagombea kata ambazo hakikuwa na nguvu na kupata kura nyingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushindani utatuweka mjini- FM Academia

Ilitosha kwa FM Academia kumweteka na umaarufu na uzoefu wao mkubwa kwenye soko la muziki wa dansi na kudharau bendi nyingine zinazojaribu kukaribiana nao, lakini haijavimba kichwa na badala yake inaheshimu wapinzani wao wote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Hispania ushindani mkubwa

Dalili za awali katika uchaguzi nchini Hispania zinaonyesha huenda vyama vipya vikapata ushindi zaidi ya vile ambavyo vimekuwepo kwa miongo kadhaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushindani wazidi katika ligi ya EPL

Manchester City ilifunga mabao matatu katika kipindi cha kwanza dhidi ya West Bromwich licha ya barafu kuanguka katika uwanja huo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani