Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushindani utatuweka mjini- FM Academia

Ilitosha kwa FM Academia kumweteka na umaarufu na uzoefu wao mkubwa kwenye soko la muziki wa dansi na kudharau bendi nyingine zinazojaribu kukaribiana nao, lakini haijavimba kichwa na badala yake inaheshimu wapinzani wao wote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani

Akiendelea na ziara katika Mamlaka zinazohusu udhibiti wa huduma za kiuchumi na za kijamii,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum), Ofisi ya Rais,Profesa Mark Mwandosya ametembelea makao makuu ya Tume ya Ushindani wa Haki kibiashara, na Baraza la Ushindani, Ubungo, Dar es Salaam. 
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...

 

9 years ago

GPL

MMILIKI WA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

Martin Kasyanju enzi za uhai wake. Mmiliki wa Bendi ya FM Academia, Martin Kasyanju amefariki dunia jana. Msemaji wa Bendi ya FM Academia, Kelvin Mkinga amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kusema kuwa Martin amefariki akiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa siku chache. Kwa mujibu wa Kelvin ni kwamba marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria lakini baadaye ikagundulika kuwa ana...

 

11 years ago

GPL

MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

Stori: Gladness Mallya MUNGU akutangulie! Katika hali ya majonzi Bendi ya muziki wa dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imepata pigo baada ya kuondokewa na mwanamuziki wao mwimbaji almaarufu kwa jina la Digitali. Aliyekuwa mwimbaji maarufu wa bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ almaarufu kwa jina la Digitali enzi za uhai wake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, rais wa bendi...

 

11 years ago

GPL

FM ACADEMIA KUDONDOSHA KITU KIPYA

Na Musa Mateja
BENDI ya FM Academia inatarajia kuachia albamu yao mpya inayokwenda kwa jina la Chuki ya nini? ikiwa ni albamu ya 10 tangu bendi hiyo ilipoanzishwa. Prezidaa wa FM Academia, Nyoshi El-Saadat (kulia) akiimba. Pembeni ni msanii mwenzake. Akipiga stori na Risasi Mchanganyiko, prezidaa wa bendi hiyo, Nyoshi El-Saadat, alisema kimya chao cha miaka minne kina msindo mkuu na kwamba, Jumamosi hii watafunga mwaka kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba yenye ushindani

Kamdulla sitaishi, nyumba yenye ushindani, Sipendi utatanishi, uhali hatulingani, Kushindania mapishi, tumbo lina shukurani? Nyumba yenye ushindani, Kamdulla sitaishi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Academia kuitikisa Mzalendo Pub leo

BENDI  ya muziki wa dansi ya FM Academia, leo usiku itazindua albamu ya 10 katika ukumbi wa Mzalendo Pub ulioko katika  Jengo la Millenium Tower, jijini Dar es Salaam. Akizungumza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

FM Academia kufunga 2013 na ‘Chuki ya Nini’

KIMYA kingi kina mshindo. Hivi ndivyo ilivyo kwa bendi ya muziki wa dansi ya FM Academia yenye maskani yake jijini Dar es Salaam, ambayo baada ya ukimya mkubwa, imeibuka upya,...

 

11 years ago

GPL

MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFANYIWA KITU MBAYA

Na Shakoor Jongo
DUNIA kweli haina huruma! Kitendo alichofanyiwa  mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar  anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii ya Kitanzania. Flora akiwa hajitambui. Flora akiwa amepata kinywaji ili kuchangamsha mwili wake alijikuta akipigwa na vijana wawili wanaofanya kazi ya kuendesha Bajaj akiwa amewakodi kwa ajili ya kurudi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Hispania ushindani mkubwa

Dalili za awali katika uchaguzi nchini Hispania zinaonyesha huenda vyama vipya vikapata ushindi zaidi ya vile ambavyo vimekuwepo kwa miongo kadhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani