Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MMILIKI WA FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

Martin Kasyanju enzi za uhai wake. Mmiliki wa Bendi ya FM Academia, Martin Kasyanju amefariki dunia jana. Msemaji wa Bendi ya FM Academia, Kelvin Mkinga amethibitisha kutokea kwa msiba huo na kusema kuwa Martin amefariki akiwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa siku chache. Kwa mujibu wa Kelvin ni kwamba marehemu alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa malaria lakini baadaye ikagundulika kuwa ana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFARIKI DUNIA

Stori: Gladness Mallya MUNGU akutangulie! Katika hali ya majonzi Bendi ya muziki wa dansi, FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imepata pigo baada ya kuondokewa na mwanamuziki wao mwimbaji almaarufu kwa jina la Digitali. Aliyekuwa mwimbaji maarufu wa bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ almaarufu kwa jina la Digitali enzi za uhai wake. Akizungumza na Ijumaa Wikienda wikiendi iliyopita, rais wa bendi...

 

11 years ago

CloudsFM

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA

BILIONEA Malcolm Glazer, aliyeshinda tenda ya utata ya kuichukua Manchester United mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Mfanyabiashara huyo wa Marekani atakumbukwa kama bilionea wa Florida aliyeichukua kuimiliki binafsi United miaka tisa iliyopita na kuwekeza zaidi ya Pauni Milioni 500.
Glazer mkubwa amekuwa mgonjwa kwa muda sasa na kuwaachia shughuli za uendeshaji wa United watoto wake wa kiume, Joel na Avram.

 

11 years ago

GPL

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI

Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85. MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani. Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII YP AFARIKI DUNIA

Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Gurumo afariki dunia

>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

10 years ago

GPL

Y-P WA TMK AFARIKI DUNIA

Wasanii wa Wanaume Family, kutoka kushoto, Dogo Aslay, Stiko na YP (Kushoto) wakiwa katika pozi. Msanii wa kundi la TMK Wanaume Family,Yesaya Ambilikile ‘ Y- P’ amefariki dunia usiku wa jana katika hospitali ya Temeke baada ya kusumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa kifua. Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa kundi hilo, Said Fela, amethibitisha msiba huo na kusema ratiba kamili itatoka leo mchana....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani