Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yajivunia kutoa ushindani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema licha ya kushinda kata tatu kati ya 27 kwenye uchaguzi mdogo wa madiwani nchini, kimetoa upinzani wa kweli kwa kusimamisha wagombea kata ambazo hakikuwa na nguvu na kupata kura nyingi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kutoa taswira ya ushindani 2015

UCHAGUZI wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini kote ambapo chama tawala CCM, kinashindana na vyama vya upinzani katika kujenga nguvu kwa ajili ya kushinda uchaguzi mkuu ujao mwakani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekondari St. Matthew yajivunia kutoa mazao bora

NJIA pekee ya kufaulisha wanafunzi shuleni ni kutoa motisha kwa walimu, miundombinu bora kwa shule na vifaa vya kufundishia vya kutosha. Mpango wa serikali wa kupata Matokeo Makubwa Sasa (Big...

 

9 years ago

Bongo5

Queen Darleen ahofia kutoa nyimbo mpya kutokana na ushindani kwenye soko la muziki

Vituo vya radio vimekuwa vikipokea kazi mpya za wasanii wa Bongo karibia kila siku, hii ikiwa inamaanisha kuwa ushindani ni mkubwa kutokana na wingi wa wasanii ambao wote wana malengo ya kulikamata soko ambalo wateja wake ni wale wale (mashabiki). Hali hiyo imekuwa ikiwalazimu wasanii kuwaza nje ya box, ili kuhakikisha kazi wanazotoa hazimezwi na […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yajivunia ushirikiano na wananchi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeeleza kufurahishwa na ushirikiano uliopo baina ya chama hicho na wananchi, na kusema hatua hiyo itafanikisha kuiangusha CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani

Akiendelea na ziara katika Mamlaka zinazohusu udhibiti wa huduma za kiuchumi na za kijamii,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum), Ofisi ya Rais,Profesa Mark Mwandosya ametembelea makao makuu ya Tume ya Ushindani wa Haki kibiashara, na Baraza la Ushindani, Ubungo, Dar es Salaam. 
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

TWIGA BANCORP yajivunia kuwa taasisi ya kifedha inayoongoza kutoa huduma bora za kibenki

IMG_2937

Wafanyakazi wa Benki ya Twiga Bancorp wakiwa katika picha ya pamoja nje ya banda lao mapema leo, kwenye maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.

IMG_2762

Mama Mjasiliamali wa kampuni ya Tree of Life, Bi.Jessica Msamba akifafanua jambo kwa  Afisa Masoko wa Twiga Bancorp,Bwa.Adalbert Alchard mapema leo mchana kwenye  maonesho ya 38 ya biashara ya kimataifa jijini  Dar es Salaam.Bi Jesca ni mmoja wa wateja wakubwa wa benki hiyo na amekuwa akiendesha biashara zake za ujasiliamali...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyumba yenye ushindani

Kamdulla sitaishi, nyumba yenye ushindani, Sipendi utatanishi, uhali hatulingani, Kushindania mapishi, tumbo lina shukurani? Nyumba yenye ushindani, Kamdulla sitaishi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ushindani utatuweka mjini- FM Academia

Ilitosha kwa FM Academia kumweteka na umaarufu na uzoefu wao mkubwa kwenye soko la muziki wa dansi na kudharau bendi nyingine zinazojaribu kukaribiana nao, lakini haijavimba kichwa na badala yake inaheshimu wapinzani wao wote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Hispania ushindani mkubwa

Dalili za awali katika uchaguzi nchini Hispania zinaonyesha huenda vyama vipya vikapata ushindi zaidi ya vile ambavyo vimekuwepo kwa miongo kadhaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani