Lil Wayne anusurika kifo Atlanta
BADI MCHOMOLO NA MITANDAO
KIONGOZI wa kundi la Young Money, Lil Wayne, juzi alinusurika kifo alipokuwa Atlanta, nchini Marekani, baada ya basi alilopanda kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Lil Wayne alikuwa katika mzunguko wa maonyesho yake ya muziki katika mji huo, huku akitumia basi lililokuwa likiwabeba baadhi ya wasanii wa kundi lake.
Hata hivyo, katika shambulio hilo la risasi hakuna mtu aliyejeruhiwa. Kupitia mtandao wa Twitter, msanii huyo aliandika kwamba ameshangaa kuona gari...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo510 Sep
Music: Lil Durk Ft. Lil Wayne, Fetty Wap, & Jeremih – Like Me (Remix)
10 years ago
Bongo528 Aug
New Video: Lil Wayne — Krazy
9 years ago
Bongo505 Oct
Music: Lil Wayne — Pour Up
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Lil Wayne: Birdiman anawatesa wasanii
NEY YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Dwayne Carter ‘Lil Wayne’, amemshambulia bosi wa kundi la Cash Money, Bryan Williams ‘Birdman’ ambaye ni kama baba yake mlezi.
Lil Wayne alilelewa na Birdman kuanzia alipokuwa na umri mdogo hadi alipopata mafanikio akiwa chini ya kundi la Cash Money na kisha kuanzisha kundi lake la Young Money.
Lakini wawili hao kwa sasa hawana uhusiano mzuri na kila mmoja anafanya kazi peke yake, kutokana na hali hiyo, Lil Wayne amefunguka na kusema kuwa...
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Drake awakutanisha Lil Wayne na Birdman
MIAMI, MAREKANI
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne na Birdman, wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye ‘party’ ya msanii mwenzao, Drake.
Wawili hao wana mgogoro tangu Agosti mwaka jana hivyo kuwafanya wavunjeukaribu wao, lakini mwanzoni mwa mwaka huu wawili hao wamejikuta wakikutana katika pati ya Drake ambayo aliiandaa kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya.
Pati hiyo ilifanyika mjini Miami kwenye Ukumbi wa E11, hata hivyo mashabiki wamebaki na maswali mengi kama wawili hao...
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Drake amwendea kinyume Lil Wayne
9 years ago
Bongo506 Nov
Video: Monica Feat. Lil Wayne — Just Right for Me
![monica-wayne](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/monica-wayne-300x194.jpg)
Msanii wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Monica Brown baada ya kuwa kimya kidogo amechia video mpya ya wimbo wake unaitwa “Just Right for Me” amemshirikisha Lil Wayne. Wimbo huu upo kwenye Album yake mpya iliyopewa jina Code Red tarehe 18 December 2015 itakuwa sokoni.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!