Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LIL WAYNE: DRAKE ALINITHIBITISHIA KULALA NA MPENZI WANGU NIKIWA GEREZANI

Lil Wayne (kulia) na Drake. RAPPA wa nchini Marekani, Lil Wayne katika kitabu chake ambacho kitatoka hivi karibuni, amefunguka kuwa wakati yupo gerezani, mwanamuziki mwenzake aitwaye Drake alimthibitishia kulala na mpenzi wake. Lil Wayne akiwa stejini na Drake. Lil ameyafunguka hayo katika muswada wa kitabu chake kipya kitakachotoka hivi karibuni. Lil ameandika kuwa akiwa gerezani katika Kisiwa cha Rikers, Julai 2007 akitumikia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Drake awakutanisha Lil Wayne na Birdman

Wimbledon 2015 - Day 1 - Celebrity SightingsMIAMI, MAREKANI

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Lil Wayne na Birdman, wamekutana kwa mara ya kwanza kwenye ‘party’ ya msanii mwenzao, Drake.

Wawili hao wana mgogoro tangu Agosti mwaka jana hivyo kuwafanya wavunjeukaribu wao, lakini mwanzoni mwa mwaka huu wawili hao wamejikuta wakikutana katika pati ya Drake ambayo aliiandaa kwa ajili ya kusherehekea mwaka mpya.

Pati hiyo ilifanyika mjini Miami kwenye Ukumbi wa E11, hata hivyo mashabiki wamebaki na maswali mengi kama wawili hao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Drake amwendea kinyume Lil Wayne

i Lil Wayne alikuwa tayari kumshambulia msanii mwenza na rafikiye Drake kwa kumuendea kinyume na mpenzi wake

 

11 years ago

Bongo5

Lil Wayne na Drake kufanya tour ya ushindani pamoja

Vita ya YMCMB itaanza hivi karibuni nchini Marekani pale Drake na Lil Wayne watakapochuana kwenye ziara ya pamoja itakayoanza mwezi ujao. Meneja wa Lil Wayne, Cortez Bryant ndiye aliyekuja na wazo la “Drake Vs. Lil Wayne” na watengezaji wa video game, Capcom watasaidia kulileta wazo katika uhai jukwaani. Battle hiyo katika majiji 31 itaanza August […]

 

10 years ago

Bongo5

Lil Wayne kuondoka Cash Money pamoja na Drake na Nicki Minaj

Nicki Minaj na Drake ni kama watoto wa Lil Wayne hivyo akiondoka Cash Money Records ataondoka nao hata kama Birdman akiwa na mipango mingine, kwa mujibu wa TMZ. Vyanzo vilivyo karibu na Lil Wayne vimeuambia mtandao huo kuwa pamoja na kutaka alipwe dola milioni nane na Birdman, Wayne anapanga kuhakikisha kuwa wasanii wa Young Money […]

 

5 years ago

Bongo5

New Video: Nicki Minaj, Drake & Lil Wayne – No Frauds

Baada ya kutoonekana kwenye video wakiwa pamoja, Nicki Minaj, Lil Wayne na Drake wameachia video ya wimbo wao ‘No Frauds’. Utazame hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

 

10 years ago

Africanjam.Com

LIL' WAYNE AIFUNGULIA KESI CASH MONEY RECORDS KISA NICKI MINAJ NA DRAKE

Msanii na mmoja kati ya watu wanaounda team ya Cash Money (CMB) Records Lil Wayne aliingia kwenye headlines kipindi cha nyuma kwa madai ya kutaka kutoka katika label hio ya muziki. Headlines mpya leo ni kwamba msanii huyo wa Hiphop amefungua kesi mahakamani dhidi ya Cash Money kwa madai ya kwamba eti Nicki Minaj na Drake hawana usimamizi mzuri chini ya lebo hio.
So ina maanisha Nicki Minaj na Drake wako njiani kuimwaga Cash Money Records?ama ni stori tu!?wayneKatika documents zilizowasilishwa...

 

9 years ago

Bongo5

Lil Wayne adai Birdman amewaibia Drake, Nicki Minaj na Tyga mkwanja mrefu

Ugomvi kati ya Young Money na Cash Money unaendelea kuwa mkubwa zaidi baada ya Lil Wayne kutoa madai mapya. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Wayne anadai kuwa na maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Drake na Tyga yakisema wameibiwa fedha nyingi. Kwa upande wa Nicki Minaj, anadai kuwa Young Money imemfanyia uhuni kwa kushindwa kuwalipa […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Nicki Minaj asema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na Drake wala Lil Wayne kwenye wimbo mpya ‘Only’

Nicki Minaj ameachia rasmi single mpya iitwayo ‘Only’ kama alivyoahidi, ambayo kawashirikisha Chris Brown, Drake na Lil Wayne. Hii ni single ya tatu kutoka kwenye album yake mpya itakayotoka Dec.16, ‘The Pink Print’. Katika ‘Only’ Minaj amesema hakuwahi kuhusiana kimapenzi na wasanii aliowashirikisha yaani Lil Wayne na Drake katika maisha yake. Mwanzoni kabisa mwa wimbo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani