Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lindi Kumekucha DAUDI MSUNGU achukua fomu za Ubunge

Majogoo yamewika Lindi Mjini,Kada mkereketwa wa CCM Ndugu Daudi Paulo Msungu mapema jana 19 Julai 2015 alifika makao ya CCM mjini Lindi kuchukua fomu kujaza na kuirudishakwa kuwania kiti cha ubunge wa jimbo la Lindi Mjini kwa tiketi ya ridhaa ya chama cha Mapinduzi (CCM).

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI MRINDOKO ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UBUNGE MOSHI MJINI

Kijana Daudi Mrindoko aliyekuwa anashawishiwa na wakazi wa jimbo la Moshi mjini kugombea ubunge wa jimbo hilo.,Siku ya ijumaa 17 Julai 2015 mshawishiwa huyo Daudi Mrindoko alifika ofisi ya CCM wilaya Moshi Mjini na kukabidhiwa fomu ya kugombea Ubunge kupitia ticketi ya CCM.

 

9 years ago

Michuzi

NAPE ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE PAMOJA NA SAID MTANDA LINDI LEO

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akikabidhiwa fomu za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge. Mbunge wa Jimbo la Mchinga Said Mtanda akipokea fomu za uteuzi kwa nafasi ya ubunge na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi Olliver Vavunge.  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimina na wananchi waliojitokeza kumsindikiza kwenda kuchukua fomu za uteuzi wa ubunge za Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJANA DAUDI BABU MRINDOKO ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE MOSHI MJINI

Kijana Daudi Babu Mrindoko aliyeshawishiwa kugombea ubunge na wakazi wa Moshi Mjini,merudisha Fomu Leo tarehe 18/07/2015 saa 10:00 jioni na kupokelewa na Katibu wa Chama CCM Wilaya ya Moshi mjini -Ndugu.Loth Ole-Nesele. Wananchi wa jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro mwanzoni mwa mwaka 2015 walianza kumshawishi kijana Daudi Babu Mrindoko kuchukua fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Moshi-Mjini,Wananchi jimboni Moshi-Mjini wanaamini kabisa kuwa pendekezo lao la mgombea Daudi Mrindoko...

 

9 years ago

GPL

KINGWENDU ACHUKUA FOMU YA UBUNGE

Kingwendu akikabidhiwa fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kisalawe kwa tiketi ya CUF. Katika hali ya kuonyesha kuwa UKAWA imedhamiria kushika dola, mgombea wa ubunge jimbo la Kisarawe kwa tiketi ya Chama Cha wananchi (CUF),  Rashid Mwinshehe 'Kingwendu' jana amechukua fomu ya ubunge na kuahidi kuwa muda wa kwenda kubutua mijicho yake na kutoa ulimi nje umewadia, huu ndio muda wa heno heno. ...

 

11 years ago

Michuzi

Ridhwani achukua fomu za Ubunge Chalinze

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ridhwan Kikwete akionesha fomu aliyochukua ya kugombea ubunge jimbo la hilo kulia kwake ni Katibu wa CCM wa Wilaya ya Bagamoyo, Kongo Kamate na Mbunge wa viti maalum wa jimbo la Charinze Subira Mgalu. Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan Kikwete akijaza fomu ya kugombea jimbo hilo.  Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhwan...

 

9 years ago

Michuzi

MREMA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE

IMAG0392 (3)Mgombea ubunge jimbo la vunjo kupitia chama cha TLP Agustino Mrema (kushoto) akipokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo la vunjo kutoka kwa mkurugenzi wa halmashauri ya moshi vijijini FOLGENCE MPONJI(Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
……………………………………………………………………………….. MGOMBEA ubunge jimbo la Vunjo na mwenyekiti wa chama cha TLP ,Agustino Lyatonga Mrema ametamba kuwa jimbo hilo ni mali yake na hayuko tayari kuona likichukuliwa na manyang’au aliodai wa Ukawa. Mrema alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Msaidizi wa Kikwete achukua fomu ya ubunge

KATIBU wa Rais Jakaya Kikwete, Prosper Mbena amevunja ukimya wa minong’ono ya muda mrefu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini, baada kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi ( CCM).

 

9 years ago

Vijimambo

NYALANDU ACHUKUA FOMU YA NEC KUWANIA UBUNGE

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akichukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Singida, Faridda Mwasumilwe katika Ofisi za Halmashauri ya wilaya hiyo, juzi. WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ambaye pia ni mgombea ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, akipokewa kwa shangwe na wananchi wa Kata ya Kinyagigi katika Jimbo la Singida Kaskazini wakati alipokwenda kuzungumza nao, muda mfupi baada ya kukabidhiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mgimwa achukua fomu za Ubunge kwa mbwembwe

Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa jana amechukua rasmi fomu ya kuwania kiti hicho kwa mbwewe katika Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Iringa Vijijini, huku akitaja vipaumbele vinne alivyodai kuvifanyia kazi mara atakapotangazwa mshindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani