Lindi washauriwa kutovunja mkataba na UTT
BARAZA la Madiwani la Manispaa ya Lindi limeshauriwa kutouvunja mkataba wake na Mfuko wa Dhamana wa Taifa (UTT) wa mradi wa upimaji na kuuza viwanja vipatavyo 10,000 kwani watasababisha hasara na kulazimika kuulipa mfuko huo fidia ya shilingi bilioni 3.4 watakapovunja makubaliano mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID
Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na pichani chini kulia ni Mstahiki Mstahiki Meya wa manispaa ya Lindi, Frank Magali.
Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani).
Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F03%2FMkurugenzi-Mkuu-wa-UTT-PID-Dk.-Gration-Kamugisha-kulia-akielezea-juu-ya-Taasisi-hiyo-juu-ya-utendaji-wa-kazi-zake-hapa-Nchini-kushoto-kwake-ni-Naibu-Meya-wa-Manispaa-ya-Lindi-Amida-Abdala.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F03%2FUTT-PID.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F03%2FBaadhi-ya-Madiwani-wa-Manispaa-ya-Lindi-wakiendelea-na-mafunzo-hayo-kutoka-kwa-maofisa-wa-UTT-PID-hawapo-pichani.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
![](https://images-blogger-opensocial.googleusercontent.com/gadgets/proxy?url=http%3A%2F%2Fdewjiblog.com%2Fwp-content%2Fuploads%2F2015%2F03%2FBaadhi-ya-Madiwani-kutoka-Halmashahuri-ya-Lindi-wakifuatilia-mafunzo-ya-elimu-juu-ya-ufanyaji-wa-kazi-wa-UTT-PID.jpg&container=blogger&gadget=a&rewriteMime=image%2F*)
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Ziara ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi walipotembelea Mradi wa Mapinga wa UTT-OID
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.
Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani).
Madiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamizi wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichani).
Madiwani wa Lindi wakijadili jambo.
10 years ago
Vijimambo19 Mar
MADIWANI WA MANISPAA YA LINDI WATEMBELEA MRADI MAPINGA SATELLITE WA UTT-PID ULIOPO BAGAMOYO
![Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/Diwani-wa-Kata-ya-Nachingwe-Lindi-Mjini-Omary-Chitanda-katikati-akiuliza-swali-kwa-mtaalamu-wa-mradi-huo.jpg)
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.
![Diwani wa Kata ya Nachingwea, Manispaa ya Lindi, Omari Chitanda akielezea namna alivyojifunza kwenye mradi huo kwa wandishi wa habari (hawapo pichani)](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/Diwani-wa-Kata-ya-Nachingwea-Manispaa-ya-Lindi-Omari-Chitanda-akielezea-namna-alivyojifunza-kwenye-mradi-huo-kwa-wandishi-wa-habari-hawapo-pichani.jpg)
![Madiwani na maofisa kutoka UTT-PID wakifuatilia kwa makini maelezo ya msimamiz wa mradi huo wa Mapinga uliochini ya UTT-PID (Hayupo pichani](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/Madiwani-na-maofisa-kutoka-UTT-PID-wakifuatilia-kwa-makini-maelezo-ya-msimamiz-wa-mradi-huo-wa-Mapinga-uliochini-ya-UTT-PID-Hayupo-pichani.jpg)
![DSCN9635](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9635.jpg)
![DSCN9651](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9651.jpg)
![DSCN9663](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSCN9663.jpg)
![madiwani wa Lindi wakijadili jambo](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/madiwani-wa-Lindi-wakijadili-jambo.jpg)
*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID)...
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Taasisi ya UTT-PID chini ya Wizara ya Fedha yapanua barabara eneo la mradi wa viwanja Lindi
Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.
Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za Mabano na Mmongo kwa ushirikiano na Manispaa ya Lindi, Mradi huo umeingia katika hatua ya upanuzi wa barabara kuu na za mitaa ndani ya mradi ambapo kwa ushirikiano huo zaidi ya Shilingi Billion 1 zinatarajiwa kutumika mpaka kukamilika kwake.
Mradi huo mkubwa zaidi nchini katika upimaji wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-CJo1-N2jozc/U-NjpJT5BjI/AAAAAAABEwM/-tgyyrpjLz8/s72-c/IMG-20140807-WA0004.jpg)
MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-CJo1-N2jozc/U-NjpJT5BjI/AAAAAAABEwM/-tgyyrpjLz8/s1600/IMG-20140807-WA0004.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-RKJzGwASGYE/U-Njm6XN1MI/AAAAAAABEwA/DR6_lOyy4T8/s1600/IMG-20140807-WA0001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-voBvpqgtPPI/U-NjomXu6cI/AAAAAAABEwI/OgdQ-GLUmOs/s1600/IMG-20140807-WA0002.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1-ylHwrf5TU/U-Njp1ZWT9I/AAAAAAABEwY/-sNvwLpFVLQ/s1600/IMG-20140807-WA0005.jpg)
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-3otnWmkXzUg/VcXGQtbnXbI/AAAAAAABkS0/4YAznMNHqak/s640/utt2.jpeg)
UTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI
10 years ago
MichuziUTT-PID YASHIRIKI MAONYESHO YA NANE NANE - LINDI
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea Mradi Mapinga Satellite wa UTT-PID uliopo Bagamoyo Mapinga
Diwani wa Kata ya Nachingwe, Lindi Mjini, Omary Chitanda (katikati) akiuliza swali kwa mtaalamu wa mradi huo.
*Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTT-PID) ilianza kazi zake Julai 1, 2013. Taasisi hii ilirithi kazi za miradi zilizokuwa zinafanywa na Taasisi mama yaani UTT.
Andrew Chale wa Mo dewji blog aliyekuwa Bagamoyo
Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi Machi 17, wametembelea miradi mbali mbali ya UTT-PID iliyopo Dar es Salaam ikiwemo ule wa Bagamoyo wa New Mapinga...