Lini CCM imemuenzi Mwalimu Nyerere?
YAPO mambo ukiyasikia ama kuyaona kutoka kwa wanasiasa na watawala wetu fulani ambao taifa linawaamini kuwa wanayo busara ya hali ya juu, unaweza kuangua sio tu kicheko bali kilio cha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Oct
JK: Katiba 'mpya’ imemuenzi Nyerere
RAIS Jakaya Kikwete amesema Katiba Inayopendekezwa aliyokabidhiwa hivi karibuni imemuezi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kwamba imelenga kutoa majawabu kwa matatizo na changamoto zinazokabili Watanzania.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GAEpisZ3Cuk/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bQuy-njrnKo/default.jpg)
10 years ago
Michuzi20 Oct
MANGULA, NAPE WAONGOZA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE YA VIJANA WA CCM VYUO VIKUU , LEO
![](https://4.bp.blogspot.com/-fw97RaT9AFw/VEPEYspA6JI/AAAAAAAArcU/BXTIr8SaAFo/s1600/1.%2BMangula%2B2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-vDZ5KjwAfMY/VEO-KNkhgGI/AAAAAAAArbU/FVgQhcIv7oU/s1600/2.%2BNape.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Mangula, Nape waongoza kongamano la maadhimisho ya kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ya vijana wa CCM vyuo vikuu leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.
Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo. Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher...
9 years ago
GPL14 Oct
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/GrumRRxu4WA/default.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Tunakukumbuka Mwalimu Nyerere
LEO Tanzania inaadhimisha miaka 15 ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, aliyefarikidi dunia 14/10/1999 nchini Uingereza. Kwa namna ya pekee tunawatakia Watanzania wote maazimisho mema, lakini kubwa kuliko...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mwalimu Nyerere hatotoweka
KADI yangu ya chama cha TANU Na.C.875903 ya 20.04.1971, tawi la Bank-NBC- Dar es Salaam, na pia kumbukumbu yangu ya kuwa mwanachama wa kikundi cha ‘Tanu Youth League’ tokea 1968...