Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lissu adai wajumbe 201 ni janja ya CCM

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema wamejiridhisha kuwa CCM ilitumia ujanja kuongeza wanachama wake kupitia nafasi 201 za wajumbe wateule wa rais.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

11 years ago

Mwananchi

Jussa adai Sitta anawapendelea wajumbe wanaotoka CCM

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Ismail Jussa Ladhu anaendelea kulia na Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta kuwa anawaburuza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Raawu yawajia juu wajumbe 201

KATIBU wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Utafiti na kazi nyinginezo (Raawu) Mkoa wa Dodoma, Ramadhan Mwendwa, amewashambulia baadhi ya wajumbe wa kundi la 201 kukaa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wajumbe 201 Bunge la Katiba wapigwe msasa’

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Haroub Mohamed Shamsi ameuomba uongozi wa chombo hicho kuangalia uwezekano wa kuwapiga msasa wajumbe 201 walioteuliwa na Rais ili wazifahamu kanuni.

 

11 years ago

Mwananchi

Lissu adai hati iliyopelekwa bungeni ni ‘feki’

Hata baada ya Wajumbe wa Bunge Maalumu kugawiwa nakala za Hati ya Muungano, Tundu Lissu, ameendelea kung’ang’ana kuwa haipo, ni feki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wajumbe wa Bunge la Katiba hawana sifa

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, amesema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walioteuliwa hivi karibuni wengi wao hawana sifa ya kuingia katika bunge hilo. Akizungumza na Tanzania Daima kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yabaini janja ya CCM

ZIARA ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani wa Geita, imeibua madudu ya kutisha yanayofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni pamoja na uandikishaji wa daftari la makazi...

 

11 years ago

Mwananchi

Kijo-Bisimba adai wajumbe hawaaminiani

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen-Kijo Bisimba amepinga utaratibu wa upigaji wa kura katika kupitisha Rasimu ya Katiba Mpya akisema wajumbe wengi hawaaminiani ndiyo maana kuna mvutano katika suala la kura.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani