Liverpool yaapa kuicharaza Arsenal
Nahodha wa Liverpool Steve Gerrard anasema kuwa hatokubali kushindwa na Arsenal wikendi hii.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Feb
Liverpool, Arsenal ‘majanga’
Vinara wa Ligi Kuu England, Arsenal leo wanaanza kuruka viuzi vizito vya Februari wakati wakapokuwa ugeniniAnfield kucheza mechi yake ya kwanza kati ya mbili dhidi ya Liverpool katika wiki hii.
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Arsenal, Liverpool ni vita
Kiungo Mathieu Flamini amemaliza kifungo chake cha mechi tatu, lakini mwenzake Santi Cazorla ni mgonjwa na ataikosa mechi ya leo ya Arsenal dhidi ya Liverpool katika Kombe la FA.
11 years ago
TheCitizen12 Feb
It’s Arsenal vs Liverpool today
>Arsenal manager Arsene Wenger has described his side’s 5-1 thrashing at Liverpool as an “accident†and encouraged his players to respond by beating Manchester United today.
11 years ago
BBCSwahili09 Feb
Liverpool yaidhalilisha Arsenal 5-1
Liverpool imewakandamiza Arsenal kwa kuwaangushia kipigo kikali cha magoli 5-1 katika uwanja wa Anfield.
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Arsenal kuchuana na Liverpool
Arsenal itamkagua mshambuliaji Danny Welbeck ambaye ana jeraha la goti. Steven Gerrard na Martin Skrtel wanahudumia marufuku
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Liverpool yaiteketeza Arsenal Anfield
Martin Skrtel na Raheem Sterling walifunga mabao mawili kila mmoja na kuiwezesha Liverpool kuiteketeza Arsenal kwa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyochezwa jana kwenye Uwanja wa Anfield, Liverpool.
10 years ago
GPL22 Dec
11 years ago
GPLLIVE UPDATE: LIVERPOOL 4, ARSENAL 0
LINE-UPS: LIVERPOOL vs ARSENAL
Liverpool: Mignolet, Flanagan, Cissokho, Toure, Skrtel, Gerrard, Henderson, Sterling, Coutinho, Suarez, Sturridge.
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Wilshere, Arteta, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Ozil, Giroud. Wafungaji wa Liverpool: Martin Skrtel 1' , Martin Skrtel 10', Raheem Sterling 17', Daniel Sturridge 20' •
...
11 years ago
GPLLIVERPOOL HOI KWA ARSENAL
Wachezaji wa Arsenal wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Oxlade-Chamberlain dakika ya 16. Lukas Podolski akiifungia Arsenal bao la pili katika dakika ya 47 ya mchezo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania