Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liverpool yatupwa kwa Chelsea

Liverpool itakutana na Chelsea katika nusu fainali ya Kombe la Ligi baada ya Raheem Sterling kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bournemouth juzi, wakati Tottenham ikishinda kirahisi 4-0 mbele ya Newcastle.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHELSEA YASHINDA 2-1 KWA LIVERPOOL

Mchezaji wa timu ya Liverpool akishangilia Can jumps  baada ya kufunga bao dakika ya tisa kipindi cha kwanza. Mshambuliaji wa timu ya Chelsea, Diego Costa  (kulia) akifunga bao la pili dakika ya 67 kipindi cha pili.…

 

11 years ago

GPL

LIVERPOOL HOI KWA CHELSEA, YALALA 2-0

Demba Ba akiifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 ya mchezo. Chelsea wakishangila bao lao la kwanza. Liverpool hoi baada ya…

 

11 years ago

BBC

Liverpool 0-2 Chelsea

Senegal's Demba Ba scores as Chelsea dent Liverpool's title dreams and keep their own Premier League hopes alive.

 

11 years ago

BBC

Chelsea 2-1 Liverpool

Cameroon striker Samuel Eto'o scores the winner as Chelsea come from behind to beat Liverpool 2-1.

 

11 years ago

Mwananchi

Liverpool yaipumulia Chelsea

Liverpool imepanda mpaka nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuichapa Southampton mabao 3-0 juzi kwenye Uwanja wa St Marys ukiwa ni ushindi wa kwanza wa Liverpool kwenye uwanja huo tangu 2003.

 

11 years ago

GPL

CHELSEA YAIPIGA LIVERPOOL 2-1

Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lililofungwa na Samuel Eto'o dhidi ya Liverpool leo. Chelsea imeibuka na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Stamford Bridge!

 

11 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaiadhibu Liverpool 2-0

Chelsea wamewanyamazisha vinara wa ligi kuu ya England, Liverpool kwa kuwacharaza 2-0

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea yaisambaratisha Liverpool 2 - 1

Chelsea imendeleza ubabe wake baada ya kuifunga Liverpool mbele ya mashabiki wao 2 - 1 katika mechi iliyochezwa jumamosi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani