Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ACHUKUA FOMU YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUWANIA URAIS WA TANZANIA


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake, Dkt. Juma Haji Duni wakiwapingua maelfu ya wafuasi wa vyama vya Siasa vinavyounda UKAWA, jijini Dar es salaam, Augusti 10, 2015, walipokuwa wakielekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya kuwania Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Octoba 25, mwaka huu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAGUFULI ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR LEO,VIFIJO NA NDEREMO VYATAWALA

  

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt  John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Ndugu Samia Suluhu Hassan wakionesha fomu zao za kuomba kugombea urais mara baada ya kuchukua kwenye ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dar es salaam leo, ambapo walisindikizwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama wa CCM na wananchi kwa ujumla wakiwa wamepanda kwenye gari maalum. Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Lowassa achukua fomu za kuwania urais

Pilika pilika za uchaguzi nchini Tanzania zimeendelea huku Edward Lowassa, ambaye ni mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Chadema na kuungwa mkono na umoja wa vyama vya upinzani nchini humo, UKAWA, akifika ofisi ya Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu ya ur

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa achukua fomu ya kuwania urais kupitia Chadema

>Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana alichukua tena fomu ya kuwania urais lakini safari hii si kwa tiketi ya CCM, katika hafla ambayo ilishuhudiwa na umati mkubwa wa watu uliosababisha Mtaa wa Ufipa kufungwa kwa saa tatu.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL, LOWASSA, MAGUFULI W ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS

 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Kulia ni kewe Mama Regina Lowassa. (Picha na Khalfan Said)  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akionyesha mkopo wenye fomu za kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 Dk. John Pombe Magufuli akisaini...

 

10 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ACHUKUA FOMU TUME YA UCHAGUZI YA TAIFA LEO

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati akianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan wakiwasalimu wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakati wakianza safari ya kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuchukua fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa ...

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa UPDP Mhe. Mwajuma Ali Khamis.Achukua Fomu Tume ya Uchaguzi.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha UPDP, Mhe Mwajuma Ali Khamis akiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani tayari kwa kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar kupita Chama chake, akiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi zilioko katika Ukumbi wa Salama Bwawani.Mgombea Urais kupitia Chama cha United People Democratic Party(UPDP) Mwajuma Ali Khalis akifuatilia kwa makini maelezo yaliokuwa yakisomwac na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar wakati wa hafla ya kuchukua...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu achukua fomu ya kuwania urais wa tanzania mjini dodoma leo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akionyesha mkoba wenye fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kukabidhiwa katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Bi. Faraja Nyalandu. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Pembeni ni mkewe Faraja.Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. BILAL ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisani moja ya fomu za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati alipofika Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma leo Juni 4, 2015 kwa ajili ya kuchukua fomu hizo. Kushoto ni Katibu wa NEC Idara ya Oganaizesheni , Seif Khatib.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa mkoba huo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani