Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar

 Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi leo. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akizungumza katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ahudhuria ibada ya Krismas Zanzibar leo

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na mkewe Mama Regina Lowassa wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa Ahudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi Zanzibar

   Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya SIkukuu ya Krismasi leo.  Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu awalipua wabadhirifu katika ibada ya Krismas

>Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Geita, Damian Dallu amesema viongozi wengi wamekuwa wakijidanganya kwa kuwa wabinafsi na wenye kujirundikia mali na kutojali watu maskini kwa kuamini kufanya hivyo watajitengenezea mazingira ya kufurahisha nafsi zao.

 

10 years ago

Michuzi

IGP AHUDHURIA IBADA YA KUSIMIKWA ASKOFU WA KATOLIKI SINGIDA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mtawa wa kanisa katoliki pamoja na wananchi waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Singida jana.Kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi Thobias Sedoyeka. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Ernest Mangu akisalimiana na watawa wa kanisa katoliki waliohudhuria ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Mhashamu Edward Mapunda...

 

10 years ago

Vijimambo

KASESELA AHUDHURIA IBADA YA BISHOP JOE OLSTEIN HOUSTON, TEXAS

Richard Kasesela akihudhuria ibada katika kanisa la Lakewood mjini Houston siku ya Jumapili March 15, 2015 kanisa linalotumiwa na baadhi ya Watanzania waishio hapa Houston jimbo la Texas nchini Marekani.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AHUDHURIA IBADA MJINI DODOMA.

01Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki  katika ibada ya kwanza  ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba  mjini Dodoma Juni 14, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)03Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.04Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya...

 

11 years ago

Michuzi

MH. PINDA AHUDHURIA IBADA UA KUMWEKA WAKFU ASKOFU WA MORAVIAN JIMBO LA RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha askofu huyo iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga May 25,2014.. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

Nyalandu ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu Massangwa jijini Arusha

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akipunga mkono kusalimia katika ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Kaskazini Kati,Solomon Massangwa jana kwenye Usharika wa Kimandolu. Viongozi waliohudhuria ibada hiyo katika Usharika wa Kimandolu,kutoka kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Eraston Mbwilo,Balozi wa Tanzania nchini Nigeria,Daniel Ole Njolay na Waziri Mkuu mstaafu,Frederick Sumaye.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda ahudhuria ibada ya kumweka wakfu Askofu wa Moravian Jimbo la Rukwa

PG4A0458

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Askofu Conrad Ernest Nguvumali baada ya kuwekwa Wakfu kuwa Askofu wa Kanisa la Moravian jimbo la Rukwa katika ibada iliyofanyika kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga  May 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A0514

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zawadi ya picha, Askofu wa Kanisa la Moraviani jimbo la Rukwa, Conrad Ernest katika ibada ya kumwapisha  askofu huyo iliyofanyika  kwenye uwanja wa Nelson Mandela mjini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani