Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LOWASSA ALIVYOUTIKISA MJI WA TABORA LEO

 Aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Hamis Mngeja akiuhutubia Umati wa wakazi wa Mji wa Tabora, waliofutirika kwa wingi kwenye Uwanja wa Town School, kulikofantika Mkutano wa Kampeni za kunadi sera za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Septemba 5, 2015.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika mwamvuli wa Ukawa kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, David Kafulila, akilakiwa kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA MOROGORO JIONI YA LEO,JK ASEMA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI AWAMU YA TANO.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo. Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake ...

 

9 years ago

Vijimambo

GHARIKA LA LOWASSA NDANI YA MJI WA MERERAJI, SIMANJIRO MKOANI MANYARA LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 25, 2015.
Sehemu ya Wananchi wa Mji wa Mererani, Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara wakionyesha furaha yao mbele ya Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, wakati...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO


Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora Mjini, leo Juni 12, 2015. Mh. Lowassa amepata udhamini wa wana CCM 9516 kwa mkoani Tabora, ikiwa ni muendelezo safari yake ya kutafuta wana CCM wa kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kimteue kuwania nafasi ya urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa...

 

10 years ago

CloudsFM

TASWIRA YA MJI WA KAHAMA LEO WAKAZI WA MJI HUO WAJIANDAA NA FIESTA

Taswira ya mji wa Kahama leo hii,wakazi wa mji huo wajiandaa na tamasha la #Serengetifiesta2014 Jumapili hii pande za Kahama Stadium kwa mtonyo wa buku tano tu.#Nisheedah.

 

11 years ago

Michuzi

christian bella na bendi yake ya malaika wateka mji wa tabora

 Mpiga kinanda na stage manager wa Malaika Band akiwa kazini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi mjini Tabora wakati bendi hiyo inayokuja juu kwa kasi chini ya uongozi wa mtunzi na mwimbaji mahiri na mtunzi bora wa mwaka wa Kili Music Awards Christian Bella ilipotumbuiza mamia ya wapenzi wao katika ukumbi huo mkongwe  Safu ya ushambuliaji ya Malaika band wakiwa jukwaani  Mandhari ya ukumbi  Wanenguaji wa Malaika band wakiwajibika Kiongozi, mtunzi na...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA NDANI YA MJI WA DODOMA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMJULIA HALI ASKOFU RUZOKA WA JIMBO KATOLIKI TABORA

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akimjulia hali leo Askofu Mkuu Katoliki jimbo Kuu la Tabora Paul Ruzoka katika hospitali ya TMJ alikokwenda kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata Igunga Mkoani Tabora. Mwenye shati jeupe ni Askofu Josephat Gwajima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani