LOWASSA, BABU DUNI WASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA KUU JIJINI DAR LEO

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisaini fomu za hati ya Kiapo kwenye ofisi za Jaji wa Mahakama ya Tanzania, Jijini Dar es salaam leo Agosti 19, 2015. Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakama kuu jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mgombea Mwenza, Juma Haji Duni.
Mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
LOWASSA, DUNI WASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA KUU JIJINI DAR LEO


10 years ago
Michuzi
MAGUFULI ASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA KUU JIJINI DAR LEO.


10 years ago
Vijimambo
MAGUFULI ASAINI HATI YA KIAPO YA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAKAMA KUU JIJINI DAR LEO.


10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Magufuli asaini hati ya kiapo ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Makama Kuu Jijini Dar

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akikabidhi hati ya Kiapo mapema leo mchana kwa Jaji wa Mahakama Kuu, Jaji Sekieti Kihiyo (katikati). Hati ambayo kila mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa kusaini katika mahakama kuu jijini Dar es Salaam Kushoto ni Mgombea Mwenza, Samia Suluhu Hassan.

Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi, Dk. John Magufuli akisaini hati ya Kiapo mapema jana mchana Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.Hati ambayo kila...
10 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi.jpg)
Tamko rasmi la Dkt. Hamisi Kigwangalla Habari la Kutangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwaka 2015
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
CHADEMA Blog
TAMKO LA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA YA KUITAKA TUME IMTANGAZE MSHINDI WA KITI CHA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA