Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Nahitaji kura milioni 10 tu

LOWASSANA MAREGESI PAUL, IRINGA

MGOMBEA urais wa Ukawa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, amesema anahitaji kura milioni 10.2  aweze kushinda uchaguzi mkuu.

Kutokana na hali hiyo amewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kupiga kura Oktoba 25 mwaka huu na   watakapomaliza kumpiga kura, wawe tayari kuzilinda   zisiibwe na Chama Cha Mapinduzi.

Lowassa aliyasema hayo mjini hapa jana alipohutubia maelfu ya wakazi wa Mji wa Iringa katika Uwanja wa Gangilonga.

“Mwaka huu...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Le Mutuz Anatafuta Mke 'Kwa Kweli Nahitaji WIFE Baby U Know Nahitaji Bonge la Mke, Niombeeni '

William Malecela Aka Lemutuz Ametangaza kuhitaji Mke katika Page yake ya Instagram huku akiomba watu wamuombee apate Bonge la Wife. lemutuz alipost picha akionyesha kitanda kikiwa hakija tandikwa na kuandika maneno haya hapa chini kama caption ya picha hiyo:"kwa kweli nahitaji WIFE baby U know nahitaji bonge la mke hahahah people niombeeni basi nipate Le Wife U know this is not good yaani mpaka aje mfanyakazi je ukitokea moto hapa watu wakaingia wanakuta bed iko kwenye this mess U know...

 

9 years ago

Vijimambo

Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili


Katika hotuba yake amesema haingii ikulu kutafuta fedha anaenda ikulu kwa kazi moja tu ya kuhakikisha wananchi wanakuwa na maendeleo . Amesema dhamira yake ni kuona taifa linasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Amesema atapunguza mshahara wa Rais ambao analipwa hivi sasa dola 192,000 sawa na milioni mia nne kwa mwezi hadi kufikia milioni mbili kwa mwezi amesema kuna faida gani ya mtu kupokea mshahara wote huo ili hali wananchi wako hawana maji , zahanati hakuna dawa, pembejeo za kilimo zipo juu,...

 

9 years ago

Raia Mwema

Jinsi wapiga kura wa vijijjini ‘walivyomwibia’ Lowassa kura

Hatimaye uchaguzi umemalizika!

Kitila Mkumbo

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA

Meneja wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’, Babu Tale, amesema hawajawahi kupewa kiasi cha fedha Sh mil 500 na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, ili wampigie kampeni za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).Akizungumza na Mpekuzi, Babu Tale alisema watakuwa wehu kukataa fedha nyingi kiasi hicho wakati wenyewe wanafanya muziki ili kupata fedha, lakini ukweli ni kwamba hawajapewa kitu chochote.
Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania milioni 24 kupiga kura

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva.OFISI ya Taifa ya Takwimu imetoa makadirio ya idadi ya watu wanaotarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambao wanakisiwa kuwa watafikia milioni 24.2 nchi nzima.

 

10 years ago

CloudsFM

Watu milioni 11 tu kupiga kura J’pili

UMLA ya Watanzania milioni 11.4 wamejiandikisha kupiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Jumapili wiki hii, sawa na asilimia 62 ya lengo lililowekwa.
Katika uchaguzi huo, watakaochaguliwa ni wenyeviti wa vijiji na wajumbe wa halmashauri za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wajumbe wa kamati za mitaa na wenyeviti wa vitongoji.

Mkoa wa Katavi umeongoza kwa kuandikisha asilimia 78 ya wapigakura huku mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kufanya vibaya katika kuandikisha wapiga kura,...

 

10 years ago

Mwananchi

Watu milioni 1.6 wamdhamini Lowassa

Kada mpya wa Chadema, Edward Lowassa jana amerejesha fomu ya kuwania urais, huku akifanikiwa kupata wadhamini milioni 1.6, zaidi ya nusu ya kura za urais ambazo chama hicho kilipata kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga kura milioni 13 kuchagua rais Sudan

Wapiga kura milioni 13 wanashiriki uchaguzi mkuu kuamua nani kati ya wagombea 15 wa urais akiwemo rais Omar el Bashir atawangoza

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani