Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa vizingiti kila kona

MTZ Alhamisi new july.inddNa Elias Msuya, Dar es Salaam

SIKU moja baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kuzuiwa na polisi kutembelea wananchi mitaani, Manispaa ya Ilala imeuzuia umoja huo kutumia viwanja vya Jangwani kufungua kampeni zao keshokutwa kwa maelezo kuwa vimewahiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD iliomba kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono

Lowassa_Babati2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_Babati1

Lowassa_hotuba Manyara

Lowassa_Daniel Opurukwa

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa kila kona

Hakuna shaka kwamba jina la Edward Lowassa, ndilo linalozungumzwa zaidi kwenye kampeni za urais zinazoendelea sasa hivi iwe kwa mazuri au mabaya.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Natazamwa na CCM kila kona

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema anashindwa kujitokeza kuzungumzia au kufanya mambo yanayohusiana na urais kwa kuwa Kamati ya Maadili ya CCM inamfuatilia kwa karibu.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuriko kila kona

Mkazi wa Jangwani, Dar es Salaam, Oscar Albert akionesha namna mafuriko yalivyoathiri makazi yake kufuatia mvua zilizonyesha jijini jana. (Picha na Fadhili Akida).MVUA kubwa iliyonyesha jijini Dar es Salaam kuanzia juzi, imesababisha mafuriko na kuua watu watatu, kuharibu nyumba kadhaa na miundombinu ya barabara na maji katika sehemu mbalimbali.

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI KILA KONA

Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro Abdulsalama Amer (Sas gas) akimsikiliza mmoja wa waasisi wa Chama cha Tanu na aliyewahi kuwa katibu wa Tawi la Tundu Kidodi wa chama hicho, Bi. Faina Ngwira (80) alipokuwa akisoma Gazeti la Championi, mbunge huyo alikuwa kwenye ziara ya kukagua mradi wa maji safi kwenye kata hiyo unaofadhiliwa na Benki ya Dunia, hivi karibuni. (Picha: Fadhil Chitembedja) ...

 

10 years ago

Mwananchi

Majanga kila kona

Majanga kila kona, ndicho kilichotokea jana, baada ya kuwashuhudia Yanga na Azam wakipokea vipigo ugenini huku Simba wakilazimishwa sare ya sita msimu huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kila kona ubaya England

Arsenal inaongoza Ligi Kuu ya England katika raundi hii ya 12, wakiwa mbele kwa pointi tano kwa wapinzani wake wa karibu Liverpool na Chelsea.

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu, ubabe kila kona

Ligi Daraja la Kwanza imemaliza hatua ya kwanza, lakini nyuma yake imeacha simulizi mbaya zikiwamo za vurugu za baadhi ya timu zilizosababisha mechi kuvunjika, uzalendo uliokithiri umejitokeza kwa jina la upendeleo hasa kwa timu zinapocheza nyumbani.

 

11 years ago

Habarileo

Homa ya dengue kila kona

WAKATI watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao. Mbali na kutoa taarifa hizo, Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania popote walipo, wakipata dalili hizo, wasinywe dawa hovyo, badala yake waende kupima hospitali na kufuata ushauri wa kitaalamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani