Lowassa: Natazamwa na CCM kila kona
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema anashindwa kujitokeza kuzungumzia au kufanya mambo yanayohusiana na urais kwa kuwa Kamati ya Maadili ya CCM inamfuatilia kwa karibu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Lowassa kila kona
9 years ago
Mtanzania27 Aug
Lowassa vizingiti kila kona
Na Elias Msuya, Dar es Salaam
SIKU moja baada ya mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kuzuiwa na polisi kutembelea wananchi mitaani, Manispaa ya Ilala imeuzuia umoja huo kutumia viwanja vya Jangwani kufungua kampeni zao keshokutwa kwa maelezo kuwa vimewahiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ukawa inayoundwa na vyama vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD iliomba kufanya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi...
9 years ago
Mwananchi03 Nov
CCM watuhumiana kwa unafiki kila kona
10 years ago
Habarileo16 Dec
CCM yang’ara kila kona, Chadema yafuatia
MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika kote nchini juzi, yameanza kutangazwa huku Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiongoza katika maeneo mengi na kufuatiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Juliana Shonza wa CCM apongezwa kila kona kuchaguliwa Mbunge wa Viti Maalum
Pichani ni picha na ujumbe wa Shy-Rose Bhanji aliotuma katika kurasa wake wa facebook.: “Hongera sana Juliana Shonza Mbunge Mteule kupitia mkoa mpya wa Songwe #VitiMaalum Wanawake wa Songwe wameonyesha imani kubwa kwako kwasababu wewe ni Mpiganaji. Ninakutakia Kila Heri ktk majukumu yako mapya.”
Juliana Shonza katika ubora wake..
Mwingine ni Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Anne Deo ambapo aliandika ujumbe huu:
“Navipongeza vyama vyote vya siasa vilivyobahatika...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Dkt.Magufuli achukua fomu za urais kwa kishindo, barabara ya Lumumba yafungwa, wafuasi wa CCM kila kona
![](http://3.bp.blogspot.com/-vBToKnjCblE/VcCzr5XiDuI/AAAAAAAAXAI/EHCFZ-W11iE/s640/Magufuli_Samia%2Bon%2Bthe%2Bvan.jpg)
MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi, CCM, John Pombe Magufuli, jana Jumanne Agosti 4, 2015, amechukua fomu za uteuzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, tayari kwa mchakato wa kutafuta wadhamini 200 ambao ni raia wa Tanzania wenye shahada za kupigia kura. Magufuli ambaye alifuatana nna mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na viongozi na wafuasi wa CCM, alkiambiwa na maafisa wa tume hiyo...
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Majanga kila kona
11 years ago
GPLCHAMPIONI KILA KONA