Homa ya dengue kila kona
WAKATI watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao. Mbali na kutoa taarifa hizo, Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania popote walipo, wakipata dalili hizo, wasinywe dawa hovyo, badala yake waende kupima hospitali na kufuata ushauri wa kitaalamu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Jun
Lowassa aendelea kujipatia umaarufu kila kona kila kundi, Manyara ajizolea udhamini mnono
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mji wa Babati mkoani Manyara, Juni 25, 2015 wakati akitoa shukrani baada ya kupata wana CCM 42,405 walioamdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu wa 2015. 9Picha na K-VIS MEDIA).
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward...
11 years ago
Mwananchi15 May
WHO yajitosa dhidi homa ya dengue
11 years ago
GPL14 May
GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE
10 years ago
BBCSwahili25 Sep
Mbu kupambana na homa ya Dengue
11 years ago
Habarileo19 May
Homa ya dengue yaibua tafrani
TAARIFA isiyo sahihi ya maambukizi ya homa ya dengue inayoenezwa na mbu aina ya aedes, imesababisha baadhi ya madereva teksi jijini Dar es Salaam, kujilinda kwa kuvaa glovu za mikononi, soksi ndefu miguuni na kujifungia muda wote katika magari yao hata ambayo hayana viyoyozi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yJuWtag02UJ188yaaFa26pVG08uUrjsZpJkBNPxSTD2b4cKsVZCLPpjznpPDZZuCDaEPrK2bFzRVTtdn-jwRffV/BungelaTanzania.jpg?width=650)
HOMA YA DENGUE YATINGISHA BUNGE
11 years ago
Habarileo20 May
Sampuli 60 zachunguzwa homa ya dengue
UKOSEFU wa vifaa tiba katika hospitali za wilaya mkoani Lindi, umesababisha watu 60 kuchukuliwa sampuli zao kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa wa dengue kwenye maabara mkoani Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi06 May
Homa ya Dengue yatikisa Dar