Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE

GLOBAL TV ONLINE inakuletea kipindi maaalum kinachoelezea kwa undani gonjwa hatari linalotikisa nchi kwa sasa la Homa ya Dengue.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UNGANA NA GLOBAL TV ONLINE JUMATANO IJAYO KUJUA KWA UNDANI GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGU

GLOBAL TV ONLINE itakuletea kipindi maaalum kitakachoelezea kwa undani kuhusu gonjwa hatari linalotikisa nchi la Homa ya Dengu. Kipindi hicho kitaruka GLOBAL TV ONLINE Jumatano ijayo ya Mei 14 mwaka…

 

11 years ago

GPL

HOMA YA DENGUE YATINGISHA BUNGE

Stori na Ojuku Abraham SPIKA wa Bunge, Anne Makinda amemtaka Naibu Waziri wa Afya, Dk. Kebwe Stephen Kebwe kutoa kauli ya serikali juu ya ugonjwa wa Dengu, ambao umetikisa nchi kwa sasa. Naibu Waziri Kebwe amesimama na kusema kuanzia ugonjwa huu ulipobainika Januari hadi Mei mwaka huu, jumla ya wagonjwa 458 wameripotiwa na watatu kati yao wamepoteza maisha. Alisema katika jiji la Dar es Salaam, jumla ya wagonjwa 60 wamelazwa hadi...

 

11 years ago

Habarileo

Homa ya dengue kila kona

WAKATI watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao. Mbali na kutoa taarifa hizo, Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania popote walipo, wakipata dalili hizo, wasinywe dawa hovyo, badala yake waende kupima hospitali na kufuata ushauri wa kitaalamu.

 

11 years ago

Habarileo

Homa ya dengue yaibua tafrani

TAARIFA isiyo sahihi ya maambukizi ya homa ya dengue inayoenezwa na mbu aina ya aedes, imesababisha baadhi ya madereva teksi jijini Dar es Salaam, kujilinda kwa kuvaa glovu za mikononi, soksi ndefu miguuni na kujifungia muda wote katika magari yao hata ambayo hayana viyoyozi.

 

11 years ago

GPL

FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE

Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu. Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu. DALILI: Homa kali ya ghafla Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni…

 

11 years ago

Mwananchi

Vipimo homa ya dengue vyaadimika

>Taasisi ya Afya ya Ifakara kwa kushirikiana na ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, wameamua kuanza kuchukua sampuli za damu za wagonjwa wanaohisiwa kuwa na maambukizi ya homa ya dengue na kwenda kuzifanyia vipimo katika ofisi ya Mkemia Mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Sampuli 60 zachunguzwa homa ya dengue

UKOSEFU wa vifaa tiba katika hospitali za wilaya mkoani Lindi, umesababisha watu 60 kuchukuliwa sampuli zao kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa wa dengue kwenye maabara mkoani Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mbu kupambana na homa ya Dengue

Watafiti nchini Brazil, wameachilia maelfu ya Mbu wenye viini vya Bakteria ili kupambana na homa ya Dengue ambayo ni kero nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani