Vipimo homa ya dengue vyaadimika
>Taasisi ya Afya ya Ifakara kwa kushirikiana na ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, wameamua kuanza kuchukua sampuli za damu za wagonjwa wanaohisiwa kuwa na maambukizi ya homa ya dengue na kwenda kuzifanyia vipimo katika ofisi ya Mkemia Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 May
‘Vipimo, matibabu homa ya denge ni bure’
WANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kwenda katika hospitali za Serikali wanapohisi dalili za ugonjwa wa denge, kwa kuwa matibabu hutolewa bure wakati Serikali ikijiandaa kusambaza vifaa vya kupimia ugonjwa katika wilaya zote nchini.
11 years ago
GPL14 May
GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE
11 years ago
Mwananchi15 May
WHO yajitosa dhidi homa ya dengue
11 years ago
Habarileo13 May
Homa ya dengue kila kona
WAKATI watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao. Mbali na kutoa taarifa hizo, Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania popote walipo, wakipata dalili hizo, wasinywe dawa hovyo, badala yake waende kupima hospitali na kufuata ushauri wa kitaalamu.
11 years ago
GPL![](https://1.bp.blogspot.com/-0RrKmzHbUVY/U2n74cY8zKI/AAAAAAAANOo/tQkOFhHYl7k/s1600/dengue.jpg)
FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yJuWtag02UJ188yaaFa26pVG08uUrjsZpJkBNPxSTD2b4cKsVZCLPpjznpPDZZuCDaEPrK2bFzRVTtdn-jwRffV/BungelaTanzania.jpg?width=650)
HOMA YA DENGUE YATINGISHA BUNGE
11 years ago
Habarileo20 May
Sampuli 60 zachunguzwa homa ya dengue
UKOSEFU wa vifaa tiba katika hospitali za wilaya mkoani Lindi, umesababisha watu 60 kuchukuliwa sampuli zao kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa wa dengue kwenye maabara mkoani Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo19 May
Homa ya dengue yaibua tafrani
TAARIFA isiyo sahihi ya maambukizi ya homa ya dengue inayoenezwa na mbu aina ya aedes, imesababisha baadhi ya madereva teksi jijini Dar es Salaam, kujilinda kwa kuvaa glovu za mikononi, soksi ndefu miguuni na kujifungia muda wote katika magari yao hata ambayo hayana viyoyozi.