FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE
![](https://1.bp.blogspot.com/-0RrKmzHbUVY/U2n74cY8zKI/AAAAAAAANOo/tQkOFhHYl7k/s1600/dengue.jpg)
Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu. Ugonjwa huu unaenezwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine kwa kuumwa na mbu huyu. DALILI: Homa kali ya ghafla Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog13 May
Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa Homa ya Dengue
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Charles Pallangyo.
Utangulizi
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kutoa taarifa kwa Umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa homa ya dengue yaani “dengue fever” hapa nchini.Ugonjwa huu umethibitishwabaada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa huu jijini Dar es Salaam kupelekwa kwenye maabara yetu ya Taifa Dar es salaam na kuthibitisha kuwa na...
11 years ago
Mwananchi10 May
Vipimo homa ya dengue vyaadimika
11 years ago
Mwananchi15 May
WHO yajitosa dhidi homa ya dengue
11 years ago
Habarileo13 May
Homa ya dengue kila kona
WAKATI watu 400 wakithibitika kuwa na ugonjwa wa homa ya dengue, huku wengine watatu wakifariki dunia, Serikali imetoa taarifa kuhusu dalili za ugonjwa huo na namna inavyokabiliana nao. Mbali na kutoa taarifa hizo, Rais Jakaya Kikwete amewataka Watanzania popote walipo, wakipata dalili hizo, wasinywe dawa hovyo, badala yake waende kupima hospitali na kufuata ushauri wa kitaalamu.
11 years ago
Mwananchi06 May
Homa ya Dengue yatikisa Dar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y4MVF3b94yJuWtag02UJ188yaaFa26pVG08uUrjsZpJkBNPxSTD2b4cKsVZCLPpjznpPDZZuCDaEPrK2bFzRVTtdn-jwRffV/BungelaTanzania.jpg?width=650)
HOMA YA DENGUE YATINGISHA BUNGE
11 years ago
GPL14 May
GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE
11 years ago
Habarileo20 May
Sampuli 60 zachunguzwa homa ya dengue
UKOSEFU wa vifaa tiba katika hospitali za wilaya mkoani Lindi, umesababisha watu 60 kuchukuliwa sampuli zao kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa wa dengue kwenye maabara mkoani Dar es Salaam.