Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Vipimo, matibabu homa ya denge ni bure’

 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalWANANCHI wa Mkoa wa Dar es Salaam wametakiwa kwenda katika hospitali za Serikali wanapohisi dalili za ugonjwa wa denge, kwa kuwa matibabu hutolewa bure wakati Serikali ikijiandaa kusambaza vifaa vya kupimia ugonjwa katika wilaya zote nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vipimo homa ya dengue vyaadimika

>Taasisi ya Afya ya Ifakara kwa kushirikiana na ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, wameamua kuanza kuchukua sampuli za damu za wagonjwa wanaohisiwa kuwa na maambukizi ya homa ya dengue na kwenda kuzifanyia vipimo katika ofisi ya Mkemia Mkuu.

 

10 years ago

Vijimambo

Hospitali ya Aga Khan yatoa vipimo vya bure kwa wabunge Dodoma

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid.Mh. Margaret Sitta akichukuliwa damu kwa ajili ya vipimo na mshauri wa afya kutoka hospitali ya Aga Khan kwenye jengo la Bunge. Zaidi ya wabunge 200...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI YA AGA KHAN YATOA VIPIMO VYA BURE KWA WABUNGE DODOMA‏

Mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi John Komba akipimwa urefu kwenye viwanja vya Bunge na jopo la madaktari kutoka hospitali ya Aga Khan. Zaidi ya wabunge 200 pamoja na wafanyakazi wa bunge walipata semina ya afya pamoja kupima afya zao bure mwishoni mwa wiki kwenye zoezi ambalo liliongozwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mh. Seif Rashid. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wapate matibabu bure — Mjumbe

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Joyce Mwasa, amesema Katiba mpya inatakiwa kutambua haki ya utoaji wa huduma ya afya bure kwa Watanzania wote bila kujali umri wa mtu. Joyce...

 

9 years ago

Vijimambo

UANGALIZI WA FYA NA MATIBABU WA BURE DMV

Kwa taafira zaidi na maelekezo piga simu Buite 240 706 6333

 

10 years ago

Michuzi

DC WA MISSENYI AWAPATIA MATIBABU YA BURE WATU WENYE UALBINO

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF). Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

 

10 years ago

Vijimambo

Wazee wapewa vitambulisho vya matibabu bure Kibaha

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid.
Mji wa Kibaha mkoani Pwani, umegawa vitambulisho maalum vya matibabu kwa wazee wenye umri wa kuanzia miaka 60 na kuendelea vitakavyowawezesha kupatiwa matibabu bure.

Ugawaji wa vitambulisho hivyo ulizinduliwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Jeniffer Omolo, mjini hapa jana.

Hatua hiyo inafuatia siku chache baada ya serikali kutoa agizo kwa halmashauri zote nchini kuwatambua wazee wastaafu hususan wenye umri wa kuanzia miaka 60 na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rotary Dar Oysterbay yatoa matibabu bure Kerege

KLABU ya Rotary ya Dar es Salaam Oysterbay kupitia miradi ya huduma kwa jamii yenye lengo la kuboresha afya, imetoa matibabu ya bure kwa wakazi zaidi ya 700 wa Kijiji...

 

10 years ago

Dewji Blog

DC wa Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu awapatia matibabu ya bure walemavu wa ngozi

1

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu.

2

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF).

3

Mkuu wa Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi) akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa dini na serikali za mitaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani