Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNGANA NA GLOBAL TV ONLINE JUMATANO IJAYO KUJUA KWA UNDANI GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGU

GLOBAL TV ONLINE itakuletea kipindi maaalum kitakachoelezea kwa undani kuhusu gonjwa hatari linalotikisa nchi la Homa ya Dengu. Kipindi hicho kitaruka GLOBAL TV ONLINE Jumatano ijayo ya Mei 14 mwaka…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE

GLOBAL TV ONLINE inakuletea kipindi maaalum kinachoelezea kwa undani gonjwa hatari linalotikisa nchi kwa sasa la Homa ya Dengue.

 

11 years ago

GPL

JOKATE AHOFIA HOMA YA DENGU

Na Shani Ramadhani
MWANAMITINDO maarufu Bongo ambaye pia ni Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha Channel O cha Sauzi, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameweka wazi hofu aliyonayo juu ya gonjwa hatari la Homa ya Dengu ambalo limeshika kasi katika jiji la Dar es Salaam. Mwanamitindo maarufu Bongo ambaye pia ni Mtangazaji wa Kituo cha Runinga cha Channel O Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ Akizungumza na paparazi wetu juzi...

 

11 years ago

GPL

HOMA YA DENGU YATUA MWANZA

Mbu aina ya Aedes anayeeneza virusi vya homa ya dengue. UGONJWA wa homa ya dengue yaani “dengue fever” umeingia jijini Mwanza ambapo mgonjwa wa kwanza ameripotiwa kulazwa hospitali ya mkoa, Sekou Toure. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Valentino Bangi amehibitisha kuingia ugojwa huo ndani ya mkoa wake. Ugonjwa huu ulithibitishwa kuingia nchini baada ya sampuli zilizochukuliwa kutoka kwa watu waliohisiwa kuwa na ugonjwa...

 

10 years ago

Michuzi

Katika kipindi cha "HUYU NA YULE" kesho (Jumatatu), usikose kujua UNDANI wa maisha ya Linda

NI MENGI AMEZUNGUMUZA AMBAYO MIMI NA WEWE HATUKUYAJUAKesho Jumatatu katika kipindi cha huyu na yule cha mahojiano na mwanamitindo mbunifu wa LB kutoka Atlanta, Georgia atakapoelezea historia yake yenye milima na mabonde historia ya maisha yake yenye huzuni na furaha wakati mwingine Linda akitokwa na machozi kwa kukumbuka maisha aliyopitia. Je Mume wake Mali walijuana nae wapi? na mengine mengi kuhusu maisha yake ikiwemo kampuni yake ya LB na malengo yake ya kupeperusha bendera ya Tanzania...

 

11 years ago

GPL

KWA NINI GLOBAL PUBLISHERS IMEAMUA KUPAMBANA NA HOMA YA INI?

Mgonjwa mwenye Hepatitis B ngozi na macho yake vikiwa vya njano. Na Mwandishi Wetu
Taifa la Tanzania lipo kwenye hatari kubwa. Hepatitis B (homa ya ini) ni janga la kitaifa na dunia kwa jumla. Nchi yetu (Tanzania) ipo Kusini ya Jangwa la Sahara, eneo ambalo kijiografia ndilo hatari zaidi ulimwenguni kwa maambukizi. Ni ugonjwa hatari ambao hauna tiba ya moja kwa moja lakini kinga ipo. Jambo la kuhuzunisha ni kwamba wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Homa ya ini hatari kuliko ukimwi

WADAU wa mapambano dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa homa ya ini (Hepatitis B), wamesema takriban watu milioni moja wanapoteza maisha kila mwaka dunia kutokana na ugonjwa huo. Pia wadau...

 

11 years ago

GPL

HOMA YA INI: UGONJWA HATARI KULIKO UKIMWI

Makala: Mwandishi Wetu
NI ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini hushambulia ini kabla ya kugeuka maradhi sugu.Virusi hivyo vinaitwa HBV (Hepatitis B Virus). Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid. Virusi hivyo husambazwa kwa njia ya damu au majimaji mengine ya mwilini, mfano mate au jasho. Watu takriban 1,000,000 wanapoteza maisha duniani kote kutokana na ugonjwa wa Homa ya Ini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani