Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘I AM SORRY DEAR’ IAMBATANE NA MABADILIKO LAA SIVYO…!

Wiki hii kama kawaida nazungumzia mada inayogusa maisha yetu ya kimapenzi, si unajua bila mapenzi hakuna maisha! Huo ndiyo ukweli, huwezi kuishi kama jiwe au mti. Raha ya maisha ni kuwa na mpenzi wa kumpenda na yeye akakupenda kiukweli na siyo kuigiza kama ilivyo kwa baadhi ya watu. Kwa wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama ‘kapepo’ kadogo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wasanii Mjipange kwa Magufuli la Sivyo Itakula Kwenu

TANZANIA imepata rais mpya wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli ambaye ameanza kazi rasmi huku Afrika Mashariki ikitegemea mabadiliko makubwa kutoka kwake. Kwenye tasnia ya filamu za Bongo kuna changamoto kubwa na zinazohitaji ufumbuzi makini.

Awamu ya nne chini ya Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alijitahidi kuangazia kila sekta hasa burudani waliokuwa na utaratibu na kujua mahitaji yao sahihi walifaidika kwa kupewa kitu walichohitaji.

Kwa bahati mbaya inawezekana waliofaidika moja kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...

 

10 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

10 years ago

Michuzi

MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

10 years ago

GPL

LOWASSA: PIPOOOZ… PAWAAAAA!

Edward Ngoyai Lowassa. “Nimetumia muda huu kutafakari kwa kina yaliyotokea Dodoma na hatima yangu ya kisiasa nchini. Ninajua marafiki wengi na wananchi wenzangu wanaoniunga mkono wamekuwa wakisubiri kwa hamu nitoe kauli… “Nitakuwa mnafiki kujidanganya mimi mwenyewe na Watanzania kwamba bado nina imani na CCM… CCM niliyoiona Dodoma siyo kile chama nilichokulia chenye maadili. Ni dhahiri kuwa CCM kimepotoka...

 

10 years ago

GPL

Hapa Emerson, pale Tegete …

Mshambulriaji wa Yanga, Jerry Tegete. Na Wilbert Molandi
KUTUA kwa kiungo mkabaji mpya wa Yanga Mbrazili, Emerson Oliveira na kuondoka kwa mshambuliaji, Geilson Santos Santana ‘Jaja’ kumefumua kikosi cha kwanza cha kocha, Marcio Maximo. Emerson ametua nchini siku tatu zilizopita akitokea Brazil kwa ajili ya kufanya majaribio Yanga akichukua nafasi ya Jaja aliyeshindwa kurejea kujiunga na wenzake kutokana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani