Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘MADEREVA MNATUKATISHIA NDOTO ZA MAISHA’

Stori: Makongoro Oging’ HUJAFA hujaumbika. Kijana Mtaana White Lupola mwenye umri wa miaka 38, (pichani) ambaye ndoto zake zilikuwa ni kuwa tajiri kutokana na biashara ndogondogo aliyokuwa akifanya, hivi sasa ni mlemavu baada ya kukatika miguu yake kutokana na ajali mbaya ya gari. White Lupola akiwa na huzuni. Lupola, mkazi wa Kijiji cha Ngunga, Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, alikuwa akijishughulisha na biashara lakini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MADEREVA BODABODA KARATU WATAKIWA KUACHA MABINTI WASOME, WATIMIZE NDOTO ZAO


Na Woinde Shizza,KARATU

MADEREVA bodaboda wametakiwa  kujali mabinti, kwa kuwaacha wasome ili watimize ndoto zao  na si kuwalaghai kwa kuwapa lifti pamoja na  chipsi kwa wanapofanya hivyo wanawaharibia ndoto zao .

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Theresia Mahongo alipokuwa akihutubia katika mdahalo juu ya kupinga ukatili wa kijinsia katika uwanja wa Mnadani wilayani Karatu,mdahalo ulioandaliwa Shirika la World Education Initiative (WEI) Bantwana; waache wasome ambalo lipo chini ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu awataka vijana kuacha ndoto za maisha ya mkato

>Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Titus Mdoe amewataka vijana nchini, kuhakikisha wanapata elimu bora itakayowawezesha kufanikisha ndoto zao kwa njia zisizo za mashaka.

 

10 years ago

Vijimambo

ACHENI KIJA WAWATU MAISHA YA MWENDEE SAFI KWANI ALIKUWA NA NDOTO

siku moja wakati Naseeb hajatoka alikuwa golini anauza mitumba akapita Kiba alitamani siku moja awe kama Kiba au Blue. Now ndoto yake imetimia, hii yote sababu yakujituma.Nakumbuka kuna siku Tuddy Thomas aliniambia Chibu alipiga mazoezi studio mpaka sa tisa usiku mpk akapitiwa na usingizi,kwanini asifanikiwe? Ukiniuliza nani zaidi ntasema wote, Kiba ni mkali sana kwa utunzi na vokal akiimba live kwa steji & Chibu na dancer wake wanatifua steji na ni mtunzi na anachana pia ....

 

10 years ago

Habarileo

Madereva waaswa, ulevi ni hatari kwa maisha yao

Askari Mkunde Said akimpima kiwango cha pombe dereva wa basi la mikoani, Emanuel Mkulangya kwa kutumia kifaa maalumu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya kudhibiti ajali, mkoani Mbeya juzi. (Picha kwa hisani ya Vodacom).MADEREVA nchini wametakiwa kuzingatia sheria, kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu kwa kutuma au kupokea ujumbe wa maneno wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar

Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar  Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza...

 

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma  akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar  Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na kuwasisitiza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani