‘WEMA ANIACHIE BOB JUNIOR WANGU'
![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-sYsDBbPM*KChVYR3Od7bnm2NXyqMRfwL4t2HaM4M9v-PGaf*oIO7aBp3wZhm4fa*6PvH4iOi28pSpKhOZPtYxB/wema...jpg)
Stori: Hamida Hassan na Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa kimalovee na Rais wa Masharobaro, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kudai ‘Wema niachie Bob Junior wangu’. Mwigizaji chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo, 'Bozi' akihuzunika. Kwa mujibu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Jan
Hapa na Pale:‘Wema Aniachie Bob Junior Wangu'
UBUYU! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa kimalovee na Rais wa Masharobaro, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kudai ‘Wema niachie Bob Junior wangu’.
Kwa mujibu wa chanzo cha GPL, mara baada ya habari hiyo kuruka hewani kupitia gazeti tumbo moja na hili, Amani la wiki iliyopita, mrembo huyo alipoziona picha za wawili hao alipoteza fahamu.
Akizungumza na GPL huku akiangua kilio, Bozi alisema...
11 years ago
GPL05 Jun
10 years ago
Bongo514 Jan
Bob Junior azungumzia kuchelewa kwa kolabo yake na Chameleone, pamoja na ujio wa ablam ya ‘Ukweli Wangu’
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8Kb*1kVFSTuAklxcRvbdmrRonStZWcDNJ*FG8*GiuDSsOMkMbfjPm51n5eGEItlSHql5p4JqHT4TglxZHpZ2aHSjdXIDWNnT/FRONT.jpg)
WEMA, BOB JUNIOR LIVE, WATUMIA DAKIKA 10 KUONYESHANA MAHABA
10 years ago
GPL17 Jan
11 years ago
Bongo514 Jul
New Music: Bob Junior — Bolingo
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Bob Junior ajipanga upya
BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...
9 years ago
Mtanzania19 Oct
Bob Junior: Tutaonana baada ya Oktoba 25
NA THERESIA GASPER,
PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Raheem Rummy ‘Bob Junior’, amewataka mashabiki wake waonane baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 kwa kuwa sasa amebanwa na shughuli za uhamasishaji wa upigaji wa kura katika
kampeni za wagombea urais.
“Sina mpango wa kuachia wimbo wala albamu yangu kwa sasa, lakini baada ya uchaguzi nitafanya hivyo kwa kuwa nitakuwa na muda mwingi wa kukaa studio na kuandaa muziki mzuri ambao kwa sasa sipati muda huo,” alisema
Bob Junior mkali wa wimbo wa...