Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFFICIAL AUDIO: BOB JUNIOR - UKWELI WANGU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Bob Junior azungumzia kuchelewa kwa kolabo yake na Chameleone, pamoja na ujio wa ablam ya ‘Ukweli Wangu’

Mwanamuziki na producer wa Sharobaro Record, Bob Junior amezungumzia sababu ya kuchelewa kwa kolabo yake na nyota wa Uganda, Jose Chameleone pamoja na ujio wa ablam yake itwayo ‘Ukweli Wangu’. Bob Junior Akizungumza na Bongo5 leo, Bob Junior alisema sababu kubwa iliyosabisha kuchelewa kutoka kwa wimbo huo, ni Chameleone kuwa busy sana na kushidwa kukaa […]

 

10 years ago

GPL

‘WEMA ANIACHIE BOB JUNIOR WANGU'

Stori: Hamida Hassan na Mayasa Mariwata/Ijumaa Wikienda
Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa kimalovee na Rais wa Masharobaro, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kudai ‘Wema niachie Bob Junior wangu’. Mwigizaji chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo, 'Bozi' akihuzunika.
Kwa mujibu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:‘Wema Aniachie Bob Junior Wangu'

UBUYU! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa kimalovee na Rais wa Masharobaro, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kudai ‘Wema niachie Bob Junior wangu’.

Kwa mujibu wa chanzo cha GPL, mara baada ya habari hiyo kuruka hewani kupitia gazeti tumbo moja na hili, Amani la wiki iliyopita, mrembo huyo alipoziona picha za wawili hao alipoteza fahamu.
Akizungumza na GPL huku akiangua kilio, Bozi alisema...

 

10 years ago

GPL

11 years ago

Bongo5

New Music: Bob Junior — Bolingo

Rais wa Masharo Baro Bob Junior huu ndo wimbo wake Mpya unaitwa “Bolingo” Producer akiwa ni yeye mwenyewe ngoma imefanyika katika Studio za Sharo baro Records

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior ajipanga upya

BAADA ya kimya cha muda mrefu, mkali wa muziki wa kizazi kipya na muandaaji wa muziki huo, Rahim Rummy ‘Bob Junior’, amesema anatarajia kurudi upya akiwa na kazi yake ya ‘Bolingo’. Akizungumza Dar es Salaam jana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bob Junior kunogesha Miss Manyara

WAREMBO 14 kutoka vitongoji mbalimbali vya Mkoa wa Manyara, wameingia kambini jana kujiwinda na kinyang’anyiro cha kumsaka Miss Manyara kitakachofanyika Ukumbi wa CCM wilayani Babati na kupambwa na mkali wa...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AREJESHA NDOA YA BOB JUNIOR

Stori: Chande Abdallah
MTOTO wa msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ametajwa kuwa ndiyo sababu kubwa ya kurejesha ndoa iliyovunjika ya msanii huyo na aliyekuwa mkewe iliyovunjika miezi michache iliyopita. Msanii wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’. Akizungumza na mwandishi wetu, msanii huyo alisema kuwa kipindi chote wakati ameachana na mkewe alikuwa akimkumbuka sana mwanaye ambaye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani