Luise Binagi
Hapa ni Tarime Mkoani Mara ambako ni nyumbani kwa Professor Luise Binagi (Manamba) aliewasili nchini hivi karibuni baada ya kustaafu. Kwa muda mrefu Professor Binagi alikuwa akifanya kazi nchini Marekani. Picha na Binagi Media GroupFamilia ya Binagi pamoja na Uongozi wa Binagi Media Group unakukaribisha nyumbani Tanzania.
Kulia ni Professor Luise Binagi, Katikati ni Mkewe Luizer Binagi na kushoto ni rafiki wa Professor Binagi aitwae Mzee Sabhanganga.
Professor Binagi (Kulia) akiwa pamoja na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Mwalimu Godfrey Kihengu na Mariam Binagi wauga rasmi ukapera!!
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-AIrpByqN-IE/Vd1DLhmfQrI/AAAAAAAAEa8/mqmZcZ-Gkz0/s72-c/1.jpg)
BINAGI MEDIA GROUP YAZINDUA KAMPENI YAKE YA "PIGA KURA EPUKA KULA"
![](http://2.bp.blogspot.com/-AIrpByqN-IE/Vd1DLhmfQrI/AAAAAAAAEa8/mqmZcZ-Gkz0/s640/1.jpg)
Katika Kampeni hiyo ambayo inaanza leo Agost 26, 2015 Wasomaji wa Mtandao huu pamoja na Wadau...