Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu Godfrey Kihengu na Mariam Binagi wauga rasmi ukapera!!

Mchungaji Kiongozi wa Jimbo la Tarime Samweli Nyageswa akiwafungisha ndoa Bi.Mariam Baraka Binagi (wa pili kulia) wa Rebu Tarime, Mara pamoja na Mwalimu Godfrey Godwin Kihengu (wa pili kushoto) wa Nyansurura Tarime, Mara ikiwa ni katika ibada iliyofanyika jana Desemba 30,2015 katika Kanisa Anglikana Buhemba Wilaya ya Tarime Mkoani Mara. Picha na BMG (Binagi Media Group) Mchungaji Kiongozi wa Jimbo la Tarime Samweli Nyageswa akimkabidhi bwana harusi cheti cha ndoa Mchungaji Kiongozi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mpiganaji Edwini Mjwahuzi aukacha rasmi ukapera

 Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, jioni ya leo ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi....... kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.  Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe pamoja na Wasimamizi wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.Mdau Edwini Mjwahuzi akimvisha pete Mkewe, wakati wa Ibada...

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa waapishwa rasmi Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8145

Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8185

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8195

PG4A8131

 Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza.

PG4A8129

Mke   Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete...

 

9 years ago

Vijimambo

Luise Binagi

Hapa ni Tarime Mkoani Mara ambako ni nyumbani kwa Professor Luise Binagi (Manamba) aliewasili nchini hivi karibuni baada ya kustaafu. Kwa muda mrefu Professor Binagi alikuwa akifanya kazi nchini Marekani. Picha na Binagi Media GroupFamilia ya Binagi pamoja na Uongozi wa Binagi Media Group unakukaribisha nyumbani Tanzania.Kulia ni Professor Luise Binagi, Katikati ni Mkewe Luizer Binagi na kushoto ni rafiki wa Professor Binagi aitwae Mzee Sabhanganga.Professor Binagi (Kulia) akiwa pamoja na...

 

9 years ago

Michuzi

BINAGI MEDIA GROUP YAZINDUA KAMPENI YAKE YA "PIGA KURA EPUKA KULA"

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Binagi Media Group George Marwa Binagi-GB Pazzo akionyesha Kitambulisho chake cha Kupigia Kura ikiwa ni katika Uzinduzi wa Kampeni yake ya KUHAMASISHA WATANZANIA WOTE kujitokeza Kupiga Kura 0ctoba 25 Mwaka huu kwa ajili ya Kuwachagua Viongozi watakaowatumikia. Kampeni hiyo inafahamika kwa jina la "MTANZANIA PIGA KURA, EPUKA KULA KWA AJILI YA MAENDELEO YAKO".
Katika Kampeni hiyo ambayo inaanza leo Agost 26, 2015 Wasomaji wa Mtandao huu pamoja na Wadau...

 

10 years ago

Daily News

Mariam Mfaki (MP) is dead


Mariam Mfaki (MP) is dead
Daily News
SPECIAL Seats MP for Dodoma Region on CCM ticket, Mariam Mfaki (69), is dead. The Clerk of the National Assembly, Dr Thomas Kashililah, confirmed to the 'Daily News' that the parliamentarian died today morning at the Dodoma Regional Hospital after a ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amin auaga ukapera

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

10 years ago

GPL

STEVE RnB ALIVYOUAGA UKAPERA

Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB baada ya kufunga ndoa na Naimana Kuyangana juzi Jumamosi, Oktoba 11, mwaka huu. Mke wa Steve, Naimana Kuyangana. Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB juzi Jumamosi Oktoba 11, mwaka huu aliukacha ukapera kwa kufunga…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani