Mpiganaji Edwini Mjwahuzi aukacha rasmi ukapera
![](http://2.bp.blogspot.com/-Eyo41VA1q7w/Vn7Yo9FWUOI/AAAAAAAIOxI/S9gt63YwqA4/s72-c/OTH_5201.jpg)
Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, jioni ya leo ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi....... kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe pamoja na Wasimamizi wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini Mjwahuzi akimvisha pete Mkewe, wakati wa Ibada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Mpiganaji Edwini Mjwahuzi akimbia kambi ya ukapera, afunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri wakiwa ni wenye furaha tele mara baada ya kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja, kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam jana
Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Kapteni Temba aukacha ukapera
MKURUGENZI wa Kundi la Taarabu la ‘Funga Kazi’ lenye maskani yake Kigamboni, jijini Dar es Saalam, Kariya Temba ‘Kapteni Temba,’ ameamua kuuaga ukapera baada ya kumuoa mmoja wa waimbaji wa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-mcV0TXASXNc/VBagKOdpqDI/AAAAAAAGjrc/kM1hyc3E7Ec/s72-c/New%2BPicture.png)
MDAU KENNY MTOTO WA MAMA BISHANGA AUKACHA UKAPERA
Mama Bishanga na mumewe hawakuweza kuwahi siku ya harusi hiyo iliyopendeza sana na kuhudhuriwa na ndugu wengine wakiwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vGFgLtGbNVU/VH3Rlk7wQJI/AAAAAAAG00o/fxM72iL4MOE/s72-c/IMG-20141201-WA013.jpg)
Mdau Ramadhan Hussein wa Villa Park ya jijini Mwanza aukacha Ukapera
![](http://3.bp.blogspot.com/-vGFgLtGbNVU/VH3Rlk7wQJI/AAAAAAAG00o/fxM72iL4MOE/s1600/IMG-20141201-WA013.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2KAr8zC3V80/VH3Rjk733AI/AAAAAAAG00M/eqMuHi-_lCk/s1600/IMG-20141201-WA002.jpg)
9 years ago
MichuziMPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Mwalimu Godfrey Kihengu na Mariam Binagi wauga rasmi ukapera!!
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4xYR8hva5XE/UxCeMEp1NnI/AAAAAAAFQUg/vgvHKbu2ZE8/s72-c/unnamed+(71).jpg)
introducing Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi
![](http://3.bp.blogspot.com/-4xYR8hva5XE/UxCeMEp1NnI/AAAAAAAFQUg/vgvHKbu2ZE8/s1600/unnamed+(71).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/xTc3qoe4Qzs/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Amin auaga ukapera
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10