Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kapteni Temba aukacha ukapera

MKURUGENZI  wa Kundi la Taarabu la ‘Funga Kazi’ lenye maskani yake Kigamboni, jijini Dar es Saalam, Kariya Temba ‘Kapteni Temba,’ ameamua kuuaga ukapera baada ya kumuoa mmoja wa waimbaji wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mpiganaji Edwini Mjwahuzi aukacha rasmi ukapera

 Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, jioni ya leo ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi....... kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.  Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe pamoja na Wasimamizi wao wakiwa kwenye ibada ya ndoa, iliyofanyika jioni ya leo kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.Mdau Edwini Mjwahuzi akimvisha pete Mkewe, wakati wa Ibada...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU KENNY MTOTO WA MAMA BISHANGA AUKACHA UKAPERA

Mdau Hendrich Nambira au Kenny kama alivyojulikana kwenye mchezo wa kuigiwa wa Mambo hayo katika runinga ITV wakati huo, Alifunga pingu za maisha na mke wake Florence kutoka Visiwani Zanzibar. Harusi ilifanyika katika kanisa la Anglican UMCA, Upanga jijini Dar es Salaam  tarehe 23/08/2014. 
Mama Bishanga na mumewe hawakuweza kuwahi siku ya harusi hiyo iliyopendeza sana na kuhudhuriwa na ndugu wengine wakiwemo wadogo wa mama Bishanga Mack Innocent Hatia na Constancia Innocent Hatia, baba...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Ramadhan Hussein wa Villa Park ya jijini Mwanza aukacha Ukapera

Mdau Ramadhan Hussein ambaye ni Meneja wa Kiota maarufu jijini Mwanza "Villa Park",mwishoni mwa wiki iliyopia aliamua kuachana kabisa na Chama cha Makapera kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Husna Salum mkazi wa huko Ukonga jijini Dar es Salaam.Ndoa yao hiyo ilifungwa katika Msikiti Mkubwa wa Ijumaa ulipo Airport,Ukonga jijini Dar es Salaam.Mdau Ramadhan Hussein na Mamsapu wake Bi. Husna Salum wakionekana kuwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta kwao. Ni chereko chereko tu kwa kwenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Amin auaga ukapera

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Andy Murry kuuaga ukapera

Ni mwaka wenye hadhi na uzito kwa mcheza tennis Andy Murray, hali hiyo si tu kutokana na matumaini yake mapya.

 

10 years ago

GPL

STEVE RnB ALIVYOUAGA UKAPERA

Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB baada ya kufunga ndoa na Naimana Kuyangana juzi Jumamosi, Oktoba 11, mwaka huu. Mke wa Steve, Naimana Kuyangana. Msanii wa Bongo Fleva, Steve RnB juzi Jumamosi Oktoba 11, mwaka huu aliukacha ukapera kwa kufunga…

 

9 years ago

Mtanzania

Dudu Baya kuuaga ukapera Januari

Dudu BayaNA MWANDISHI WETU

MKONGWE wa muziki nchini, Dudu Baya, anatarajia kuachana na ukapera Januari mwakani ambapo atafunga ndoa.

Msanii huyo amedai kwamba katika maisha yake amefanikiwa kupitia mambo mengi ya ujana lakini kilichobaki kwa sasa ni kuishi maisha ya ndoa.

“Ninatarajia kufunga ndoa Januari mwakani kwa kuwa tayari nimepitia maisha mbalimbali ya ujana kilichobaki ni kukaa na familia.

“Ninaishi na mwanangu Wille na mwakani ataanza kidato cha kwanza, hivyo lazima nifunge ndoa niishi kama...

 

9 years ago

Bongo5

Dudu Baya kuuaga ukapera, January

dudubaya3

Msanii mkongwe wa Hip Hop, Dudu Baya amesema hakuna kitu kinachomnyima usingizi kama maandalizi ya ndoa yake itakayofanyika January 2016.

dudubaya3

Rapa huyo ambaye pia ni baba wa mtoto mmoja aitwae Wille, ameiambia Bongo5 kuwa huu ndio wakati wake sahihi wa kuoa na kukaa na familia.

“Hakuna kitu kinaniumiza kama ndoa,” alisema.

“Nafunga ndoa January kwa sababu tayari nimeshapitia maisha yote ya ujana na sasa ni wakati wa kutulia home na familia. Wille amekuwa, mwakani anaingia form one na ninakaa...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHABARI DEOGRATIAS MONGELA ALIVYO UKACHA UKAPERA

 Deogratias Mongela akiwa na mke wake Elizabeth Sanga wakati wa hafla ya ndoa yao iliyofanyika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza Afrikasana baada ya kufunga ndoa Katika Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mbezi Luis Dar es Salaam jana. Maharusi hao (katikati) wakiwa na wapambe wao kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Cobson Nzige na mke wake Subira Nzige (kulia), 'hakika wamependeza si mnawaona'.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akimpongeza bwana harusi Deogratias...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani