MWANAHABARI DEOGRATIAS MONGELA ALIVYO UKACHA UKAPERA
Deogratias Mongela akiwa na mke wake Elizabeth Sanga wakati wa hafla ya ndoa yao iliyofanyika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza Afrikasana baada ya kufunga ndoa Katika Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mbezi Luis Dar es Salaam jana.
Maharusi hao (katikati) wakiwa na wapambe wao kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Cobson Nzige na mke wake Subira Nzige (kulia), 'hakika wamependeza si mnawaona'.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akimpongeza bwana harusi Deogratias...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMWANAHABARI DEOGRATIAS MONGELA ALIVYO UKACHA UKAPERA KWA KUMUOA ELIZABETH SANGA DAR ES SALAAM JANA
10 years ago
Mwananchi24 Feb
MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: Deogratias Ntukamazina
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Mongela amvaa JK
WAKATI tuzo ya kuuenzi Muungano iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa Jaji Joseph Warioba ikiibua maswali, Rais mstaafu wa Bunge la Afrika, Gertrude Mongela, amekosoa upendeleo uliofanywa na Rais Jakaya...
11 years ago
Mtanzania12 Sep
Mongela aibukia Chadema

Kada wa CCM, Balozi Getrude Mongella, akisalimiana na mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA), Hawa Mwaifunga (kulia), wakati wa ufunguzi wa mkutano wa uchaguzi wa viongozi wa baraza hilo jijini Dar es Salaam jana. Picha na Fidelis Felix
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Gertrude Mongela, ameibukia kwenye Uchaguzi Mkuu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema (BAWACHA), na kueleza kwamba wanawake...
10 years ago
TheCitizen02 Jul
Our democracy on test: Mongela
9 years ago
Habarileo10 Dec
Mongela akemea rushwa hospitalini
MKUU wa Mkoa wa Kagera, John Mongela ameonya wataalamu wa idara ya afya hususani katika zahanati na vituo vya afya, wanaojihusisha na vitendo vya kuomba rushwa kwa wajawazito.
11 years ago
IPPmedia04 Oct
Mongela:Gender parity means equal access to opportunities
IPPmedia
IPPmedia
The Arusha District Commissioner John Mongela said gender inequality has to be acted upon until parity is realized between women and men as well as between girls and boys. Mongela was officiating at a two-day East Africa Regional Equality conference in ...
11 years ago
Tanzania Daima25 Oct
BALOZI GERTRUDE MONGELA: Mtetezi wa haki za binadamu tangu utoto
LEO katika safu yetu tunawaletea Mwana Mama Balozi Gertrude Mongela. Si kwamba tumekiuka msimamo wa safu hii wa kuwaibua wanawake wa pembezoni waliofanya makubwa na hawasikiki; maana Balozi Getrude, si...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Amin auaga ukapera
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...