Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


introducing Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi

 Mtendaji Mkuu wa PHOTO SOLUTIONS na Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi. Ofisi zetu zipo  Barabara Nyerere/Arusha Mtaa wa Uhindini mkabala na na Benki ya NBC Dodoma. Unaweza kumpata kupitia deusdeditmoshi@yahoo.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MIAKA 10 YA MICHUZI BLOG MJUE MICHUZI ALIKOTOKEA NA UPIGAJI PICHA


Hii Video ililekodiwa mwaka 2011 ndani ya mjengo wa Ubalozi wa Tanzania Washington, DC

 

10 years ago

Vijimambo

SEMINA YA WATIA NIA UBUNGE CHADEMA KANDA YA KATI YAFANYIKA DODOMA KWA MAFANIKIO

Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela akiwa na Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani na mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu walipokuwa katika Semina ya watia nia wa ubunge Kanda ya Kati iliyofanyika Dodoma.Pichani Mh Tundu Lissu kulia akiwa na Rajab Msabaha Kauzela.Mh Joseph Mbilinyi Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Mikumi (wa nne kutoka kushoto) akiwa na Mtia nia wa Jimbo la Kilosa Rajab Msabaha Kauzela (wa tatu kutoka kushoto) na watia nia wengine wa Kanda ya kati wakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

TMDA yakabidhi michoro ya jengo la ofisi yake ya Kanda ya Kati Dodoma kwa mkandarasi NHC

  Pichani ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMDA Bw. Adam Fimbo akimkabidhi Injinia Haikamen Mlekio wa NHC michoro ya ujenzi wa ofici ya Mamlaka utakaofanyika katika eneo Ilazo jijini Dodoma. Ujenzi wa ofisi hiyo ambao unatarajiwa kuchukua miezi 12 toka tarehe 18 Aprili 2020  utakamilika tarehe 17 Aprili 2021.

Kukamilika kwa ujenzi huu kutaiwezesha TMDA kutekeleza majukumu yake kiufanisi katika kuhudumia mikoa ya Kanda ya kati ambayo inajumuisha Dodoma, singida na Morogoro.

TMDA ambayo hapo awali...

 

9 years ago

Michuzi

MPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA

MPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa Kamanda wa Matukio Blog, baada ya kubariki ndoa yao katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kivule Dar es Salaam mchana huu. Bwana harusi Richard Mwaikenda akiwa amepozi na mke wake Mary Michael Mbaya wakati wa ibada yao ya ndoa.

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA TANZANIA MOVIE TALENTS KUHAMIA KANDA YA KATI MKOANI DODOMA, ZOEZI LA KUTAFUTA WASHINDI KUANZA JUMAMOSI YA WIKI HII

Na Josephat Lukaza wa Proin 
Promotions Limited - Mwanza Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza.
Katika Kanda ya Kati  mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya tarehe...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu kiongozi katika maonyesho ya Nane nane kanda ya kati Dodoma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na wafanyakazi waliopo katika maonyesho ya Nane nane katika Jengo la maonyesho la Ofisi ya Rais maeneo ya Nzuguni Dodoma ambapo maonyesho haya yameadhimishwa kwa kushirikisha mikoa ya kanda ya kati.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia baadhi ya Bidhaa zinazotengenezwa na badhi ya wajasiriamali wanaonufaika na mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF (Tanzania Social Action Fund) ndani ya Jengo lamaonyesho la Ofisi ya Rais Nzuguni...

 

10 years ago

Michuzi

SHEREHE ZA NANE NANE KANDA YA KATI KUFANYIKA VIWANJA VYA NZUGUNI MKOANI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akiwasilisha taarifa ya
maandalizi ya sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitakazo fanyikasambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Kitaifa kuanzia AgostiMosi Mkoani Dodoma.

Sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitafanyika sanjari na Maonesho na mashindano maalum ya mifugo ya 5 Kitaifa  katika  uwanja wa Nzuguni Dodoma kuanzia tarehe 01/08 hadi 08/08/2015.




Sherehe za Nane Nane mwaka huu 2015 zinakwenda kwa Kaulimbiu inayosema “Matokeo Makubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani