MPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA
MPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa Kamanda wa Matukio Blog, baada ya kubariki ndoa yao katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kivule Dar es Salaam mchana huu.
Bwana harusi Richard Mwaikenda akiwa amepozi na mke wake Mary Michael Mbaya wakati wa ibada yao ya ndoa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio Blog aachana na ukapera
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Eyo41VA1q7w/Vn7Yo9FWUOI/AAAAAAAIOxI/S9gt63YwqA4/s72-c/OTH_5201.jpg)
Mpiganaji Edwini Mjwahuzi aukacha rasmi ukapera
![](http://2.bp.blogspot.com/-Eyo41VA1q7w/Vn7Yo9FWUOI/AAAAAAAIOxI/S9gt63YwqA4/s640/OTH_5201.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-GlBYsbQXNno/Vn7YrQwuzPI/AAAAAAAIOxQ/XqsEpjhplPg/s640/OTH_5229.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-5gMk0bfi1w4/Vn7YrQdjXBI/AAAAAAAIOxU/0P1edkTcwlU/s640/OTH_5264.jpg)
9 years ago
Dewji Blog27 Dec
Mpiganaji Edwini Mjwahuzi akimbia kambi ya ukapera, afunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri
Mdau Edwini Mjwahuzi na Mkewe Bi. Hildegarda Mashauri wakiwa ni wenye furaha tele mara baada ya kufunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja, kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam jana
Mdau Edwini Mjwahuzi ambaye ni Mpiga picha wa Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi, ameamua kuvunja kibanda cha Makapera na kukimbilia kwenye Mjengo wa wanandoa, kwa kufunga pingu za maisha na Bi. Hildegarda Mashauri kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph, Jijini Dar es salaam.
Mdau Edwini...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4xYR8hva5XE/UxCeMEp1NnI/AAAAAAAFQUg/vgvHKbu2ZE8/s72-c/unnamed+(71).jpg)
introducing Mwakilishi rasmi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma, mpiganaji Deusdedit Moshi
![](http://3.bp.blogspot.com/-4xYR8hva5XE/UxCeMEp1NnI/AAAAAAAFQUg/vgvHKbu2ZE8/s1600/unnamed+(71).jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uxU8RH7qB9U/U4ISu4i3y5I/AAAAAAAFk9I/nhWBiEXS3do/s72-c/unnamed+(28).jpg)
Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band mwanamuziki mpiganaji
9 years ago
MichuziMPIGANAJI WA MTAA KWA MTAA BLOG,MR. PENGO WA MBEYA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s72-c/unnamed+(3).jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s1600/unnamed+(3).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI1Um9Y3AqfJ*RFcqYJ*4Xzc72D3y1-PKwihINwpSwVnAy9Vplp8R2ziPVn*cGRMFuNZcJ2KNnUuLRiAIyOliSjz/MrChuzi1.jpg?width=650)
MR. CHUZ AACHANA NA FILAMU
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10